KATANGA: Je, ni tamaa ya hazina dhidi ya Uzalendo?

Reform inayofanyika kwa sasa ni kuhakikisha Kabila anapoteza ushawishi pamoja na nguvu za kisiasa Congo.

Akina Bemba, Moise na Felix threat kubwa zaidi kwao ni Kabila ili waweze kutawala kwa amani lazima wafanye kila linalowezekana kuhakikisha Kabila anapoteza ushawishi serikali na bungeni probably na Jeshini watahakikisha hana mamluki pia.

Mpaka sasa Felix ameshamwin Kagame na kama itatokea Kabila akaleta chokochoko kutokea huko Katanga atadhibitiwa kwa haraka.

Yawezekana Martin Fayulu akaendelea kuwa na ushawishi lakini akiwa nje ya hao miamba watatu hatafurukuta tena.
Ukumbuke Martin Fayul ni sauti ya Mfaransa na washirika wake.
 
Reform inayofanyika kwa sasa ni kuhakikisha Kabila anapoteza ushawishi pamoja na nguvu za kisiasa Congo.

Akina Bemba, Moise na Felix threat kubwa zaidi kwao ni Kabila ili waweze kutawala kwa amani lazima wafanye kila linalowezekana kuhakikisha Kabila anapoteza ushawishi serikali na bungeni probably na Jeshini watahakikisha hana mamluki pia.

Mpaka sasa Felix ameshamwin Kagame na kama itatokea Kabila akaleta chokochoko kutokea huko Katanga atadhibitiwa kwa haraka.

Yawezekana Martin Fayulu akaendelea kuwa na ushawishi lakini akiwa nje ya hao miamba watatu hatafurukuta tena.
Ni kweli kabisa Mkuu , Felix anachanga karata zake vzr sana na umakini

Kuna taarifa sitaki kuziweka sababu sio rasmi ,kutoka huko Katanga
 
Wakuu tukio hili linauhusiano wowote na vikao vya wiki iliyopita pale Chigali?
Screenshot_20210222-183047~3.jpg
 
Back
Top Bottom