zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,036
- 28,681
- Thread starter
- #201
Shukrani mkuu kwa hii elimu adimu ila ningeomba niulize final questions;Siasa ni game ,na game aliyocheza Felix ni ile ya unafiki wa wanasiasa,katika kutaka madaraka
Hivyo alipotangaza kuwa atavunja bunge na kuondoa baadhi ya huduna muhimu kwa wabunge , wakaamua kujirudi
Lakini Felix Mara nyingi amekua akillalamika ktk.hotuba zake kwa nchi kuwa FCC na wabunge wanamkwamisha, atatumia mamlaka ya katiba kufanya vile inafaa, kuvunja bunge,kubadili watendaji wakuu ,hii ilimjenga sana
Katika majimbo 26 ni jimbo moja tu la Tanganyika anaongoza gavana Zoe Kabila ,hakupiga kura ya kukubali Felix atumie mamlaka ya katiba
Na kikubwa ni nguvu ya uchaguzi 2023,wacongo wanasema JKK ako amekaa miaka 18 ,basi Felix amalize mihura yote
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hatma ya Kina Katumbi na Bemba kwenye hii serikali ni ipi? Na kete zao kuelekea 2023 ni zipi?
Vipi kuhusu Fayulu ndio amekwenda na maji au muungano wake bado upo imara?
Kuna probability ya coup kutoka kwa kabila kma akizidiwa?
Natanguliza shukrani