Aigooooo, huwajui wanawake vizuri wewe,??? Rejea samsoni na Delila, Adam na Eva, halafu usichukie ukiombwa hela akamuombe nani km si wewe mpenzi wake???Aaaah wapi!!! Sema nyie wengine mmezidi hamjui kula na kipofu..... We kila siku unataka pesa tuu, kademu ka mizinga, yaani usiione wallet mikojo imekubana unataka pesa!!!
Wao wakale wapi? Kula uliwe ulielezwapana ukweli mkuu. hiyo tabia ni mbaya sana alafu wengine wana kazi zao safi tu.
Uchumi huo,Wacha bwana..... Ulipewa bure hako kakiungo nawe toa bure bhana usitake mslipo!!!
Kuomba pesa hatukatai lakini isiwe ndo kila siku bhana!! Yaani ukipiga sim hakuna story nyingine zaidi ya pesa we vp?Aigooooo, huwajui wanawake vizuri wewe,??? Rejea samsoni na Delila, Adam na Eva, halafu usichukie ukiombwa hela akamuombe nani km si wewe mpenzi wake???
Mkuu umenifurahisha xn....kutoka kilo hadi buku nne......ila all in all umenena kwelKuhonga ni kazi njema hasa kwa wenye kigugumizi inatusaidia sana, nafikiri tungepunguza tu kiwango maana mzunguko wa hela umebana waliokuwa wanatoa 100,000 sasa iwe 4,000
Kodi ndo aina gani ya virusUnaulipia kodi lakini.????
Eeee!!!Mbona mnalalamika jamani nyie wanaume? Wapo wanaume wengine sio walalamishi...msije mkawaharibu na hii mada. Mkitupa tuna furahi...tunafeel loved.. yaani hata genye zinaongezeka, kama una sura mbaya nakuona handsome. Say NO to wanaume wabahili
ha ha hasasa na wewe unichafue na "utoko" wako na "kumwaga maji kibao" mie nikaoge mtoni...?
usimpige chini ila muelimishe tu kuhusu kujitegemea..maana unaeza kukutana na mpiga mizinga kuliko huyu wa sasaUmeona eeee yaani kila muda kwao wanawaza pesa tuu..... Yaani nilie naye kwa mizinga ni balaa sasa nataka nimtafutie kisa ili mimpige chini!!!
Napenda kumiliki mwanamke kwa asilimia mia moja. Kwangu kutoa pesa ni jambo la kawaida.
Tatizo mnataka saaana MadenMbona mnalalamika jamani nyie wanaume? Wapo wanaume wengine sio walalamishi...msije mkawaharibu na hii mada. Mkitupa tuna furahi...tunafeel loved.. yaani hata genye zinaongezeka, kama una sura mbaya nakuona handsome. Say NO to wanaume wabahili
Hapa kazi tu kama kweli kutakua na kidume fala mwaka 2016 kuhusu michepuko pole yake mi simo buku ya kula tu ndoto