KATABIA HAKA WADADA 2016 MJITAHIDI MKAACHE.... MMESIKIA WAREMBO!!!!

Nadhani hapa issue ni ile mizinga endless yaani ukimaliza kulipa Kodi unaombwa Ada ya Dogo then Voucher, Supu, Salon duh hadi Mbaba unakosa utulivu financially & mentally

Ooooh hapo sawa, lkn poleni sana wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika,

Kuna kaka mmoja ni rafiki yangu siku moja alikuwa akinilalamikia kwamba mpenzi wake kila wanapoongea ktk simu hata iwe SAA nane usiku huwa akimwambia ana njaaa hajala, kwakweli poleni[/QUOTE]

Hhahahha asante kwa kunielewa pia kwa kutuonea huruma, imagine saa nane usiku mtu anasema hajala. Ingekuwa Mimi nina mjibu hapa mtaani kwenu Mpesa/Tigo Pesa wamefunga hadi kesho asubuhi.
 
Ooooh hapo sawa, lkn poleni sana wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika,

Kuna kaka mmoja ni rafiki yangu siku moja alikuwa akinilalamikia kwamba mpenzi wake kila wanapoongea ktk simu hata iwe SAA nane usiku huwa akimwambia ana njaaa hajala, kwakweli poleni

Hhahahha asante kwa kunielewa pia kwa kutuonea huruma, imagine saa nane usiku mtu anasema hajala. Ingekuwa Mimi nina mjibu hapa mtaani kwenu Mpesa/Tigo Pesa wamefunga hadi kesho asubuhi.[/QUOTE]
Umeona eeee yaani kila muda kwao wanawaza pesa tuu..... Yaani nilie naye kwa mizinga ni balaa sasa nataka nimtafutie kisa ili mimpige chini!!!
hahahah..na mwaka ujao nimejipanga hawataambulia hata hamsini yako...nitakaba kila pahala kama tinga tinga
 
Hhahahha asante kwa kunielewa pia kwa kutuonea huruma, imagine saa nane usiku mtu anasema hajala. Ingekuwa Mimi nina mjibu hapa mtaani kwenu Mpesa/Tigo Pesa wamefunga hadi kesho asubuhi.
Umeona eeee yaani kila muda kwao wanawaza pesa tuu..... Yaani nilie naye kwa mizinga ni balaa sasa nataka nimtafutie kisa ili mimpige chini!!![/QUOTE]

Kaka hao Mizinga.dot.com huwa ni pasua Kichwa utadhani kaokota Kadi ya ATM ya Bill Gates
 
Aaaa shughuri nzito wapi mdada...... Wakati nikiingiza nusu utasikia, "baby ingiza yote" na kakilio juu afu we unasema nini?
Hako kakilio ndo raha yako hiyo, Wanaume walowengi wanapenda wasikie miguno guno ya mpenzi wake, nisipokwambia ingiza yote ikiambatana na kilio utaona km sikupendi Nina madharau
 
Ooooh hapo sawa, lkn poleni sana wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika,

Kuna kaka mmoja ni rafiki yangu siku moja alikuwa akinilalamikia kwamba mpenzi wake kila wanapoongea ktk simu hata iwe SAA nane usiku huwa akimwambia ana njaaa hajala, kwakweli poleni

Hhahahha asante kwa kunielewa pia kwa kutuonea huruma, imagine saa nane usiku mtu anasema hajala. Ingekuwa Mimi nina mjibu hapa mtaani kwenu Mpesa/Tigo Pesa wamefunga hadi kesho asubuhi.[/QUOTE]
Ujasiri wakumpa jibu hilo utakuwa huna ushakolezwa utamalizia tu kilobakia kwa simu yako nakukopa utakopa, dada wawatu apate kula
 
Wa kweli yupoje
Wa kweli anakujali na wala hahitaji pesa nyingi kutoka kwako..... Tena muda mwingine anakupa yy....!!!
Hako kakilio ndo raha yako hiyo, Wanaume walowengi wanapenda wasikie miguno guno ya mpenzi wake, nisipokwambia ingiza yote ikiambatana na kilio utaona km sikupendi Nina madharau
Wapi ww pale raha tunapata wote bhana acha kuzuga!!
 
Wa kweli anakujali na wala hahitaji pesa nyingi kutoka kwako..... Tena muda mwingine anakupa yy....!!!

Wapi ww pale raha tunapata wote bhana acha kuzuga!!
Una ushahidi km raha mnapata wote??? Wanawake acha kabisa wewe
 
Hhahahha asante kwa kunielewa pia kwa kutuonea huruma, imagine saa nane usiku mtu anasema hajala. Ingekuwa Mimi nina mjibu hapa mtaani kwenu Mpesa/Tigo Pesa wamefunga hadi kesho asubuhi.
Ujasiri wakumpa jibu hilo utakuwa huna ushakolezwa utamalizia tu kilobakia kwa simu yako nakukopa utakopa, dada wawatu apate kula[/QUOTE]

Duh love chemistry is very complicated unaweza kujiapia kuwa kuanzia sasa naacha uzoba wa kuhonga, lakini ndo ukipigiwa simu tu na ahadi ya Show unique Wallet inafunguka kiulaini kama utelezi flani. Mhhh
 
Una ushahidi km raha mnapata wote??? Wanawake acha kabisa wewe
Ushahidi ninao maana nilishawahi kuwa na kademu ka kimbulu yaani kila siku lazima kanatimba gheto afu kanademand nikspige mambo hadi siku nyingine nilikuwa nakakimbia!!!
 
Weeeee hebu jaribu kumchunguza vizuri, pengine wewe kazi yako kwake ndo hiyo na kuna mwingine kazi yake kutoa shilingi, kuwa makini
 
Ujasiri wakumpa jibu hilo utakuwa huna ushakolezwa utamalizia tu kilobakia kwa simu yako nakukopa utakopa, dada wawatu apate kula

Duh love chemistry is very complicated unaweza kujiapia kuwa kuanzia sasa naacha uzoba wa kuhonga, lakini ndo ukipigiwa simu tu na ahadi ya Show unique Wallet inafunguka kiulaini kama utelezi flani. Mhhh[/QUOTE]
Ndo hivyo tena ushazaliwa mwanaume huna jinsi, lkn usijali sana upo duniani lazima haya yote yakutokee, kaza moyo
 
Weeeee hebu jaribu kumchunguza vizuri, pengine wewe kazi yako kwake ndo hiyo na kuna mwingine kazi yake kutoa shilingi, kuwa makini
Aaaah wapi!!! Sema nyie wengine mmezidi hamjui kula na kipofu..... We kila siku unataka pesa tuu, kademu ka mizinga, yaani usiione wallet mikojo imekubana unataka pesa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom