habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Nadhani hapa issue ni ile mizinga endless yaani ukimaliza kulipa Kodi unaombwa Ada ya Dogo then Voucher, Supu, Salon duh hadi Mbaba unakosa utulivu financially & mentally[/QUOTE]
Ooooh hapo sawa, lkn poleni sana wanaume mmeumbwa mateso na kuhangaika,
Kuna kaka mmoja ni rafiki yangu siku moja alikuwa akinilalamikia kwamba mpenzi wake kila wanapoongea ktk simu hata iwe SAA nane usiku huwa akimwambia ana njaaa hajala, kwakweli poleni