Sina utaalamu sana but nimejaribu kuzichunguza Nokia X nimegundua zina mapungufu zaidi kuliko Huawei,kwenye upande wa RAM na Android yake haina playstore otherwise hadi uiroot,inakadiriwa 75 % ya programs za Android ndo zinakubali kuinstall kwny hizi simu tofauti na hizo Huawei ambazo hazibagui.Pia Nokia X zinatumia mini simcard so inakulazimu uzikate line