KAT ya HUAWEI Y 300 na NOKIA X+ new model ipi mzuri

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,716
1,500
Sina utaalamu sana but nimejaribu kuzichunguza Nokia X nimegundua zina mapungufu zaidi kuliko Huawei,kwenye upande wa RAM na Android yake haina playstore otherwise hadi uiroot,inakadiriwa 75 % ya programs za Android ndo zinakubali kuinstall kwny hizi simu tofauti na hizo Huawei ambazo hazibagui.Pia Nokia X zinatumia mini simcard so inakulazimu uzikate line
 

Sambuka

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
317
0
kwa specfctn nilizoona ningekua mimi ningechukua Nokia X+ itafaa kwa uimara, battery life tunawajua nokia wapo vizuri..
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,080
2,000
kama unataka charge simu zote mbili ni vimeo. pia nokia x+ haitapatikana kiurahisi sababu nokia wamesema itazinduliwa nchi 7 tu. nokia xl ndio inakaa sana na charge.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom