Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,798
- 28,465
Yani hapo ni saw a na kusema Kikwete aendelee kuongoza Nchi.Majaliwa in ndugu yake Salma Kikwete amefika hapo kwa kuwa Kikwete alitaka awe hapo.
Msitake kumtilia nuksi mzee wa watu akang'olewa kwenye kiti cha u waziri mkuu,Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.
Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.
Hakuna nabii anaekubalika kwao.
Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.
Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.
Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.
Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
DUH kila kitu mimi nakuwaga wa mwisho kujuaYani hapo ni saw a na kusema Kikwete aendelee kuongoza Nchi.Majaliwa in ndugu yake Salma Kikwete amefika hapo kwa kuwa Kikwete alitaka awe hapo.
Hata wao ndio wamepanga hivyo. Hayo maneno ya Samia kutaka kuendelea ni ya kuwapoteza watu wasione kinachokuja.
Ila huyo mtu hatufai kabisa, yupo ki maslai zaidi... Alafu muongo muongo sana.
Nafasi ya urais sio ya kufanyia majaribio. Vinginevyo tutaendelea kujuta miaka yote.
Tatizo bongo ccm hata wangepitisha shati liwe rais wa nchi hii, hakika linakuwa, hii nchi hakuna demokrasia kabisa, suluhu ya haya yote Ni katiba mpyaYani hata watz wote wamnyime kura yeye ndo rais mnajifurahisha tu hapa
Wapi huko ?.... Du!Tena anapiga maji balaaaaah
Nasikia aliwahi kuchapa bakora kama sio Kofi mtumishi wa umma. Sio dictator mwingine ?????2025 ni Kassim Majaliwa namkubali sana