Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Huyu huyu Majaliwa muongo muongo au.
Kizazi cha Hovyo, mwambie Majaliwa atuoneshe vile viwanda 4000 vya Magufuli kwanza.
 
Mkodisheni Rais wa china ma Korea aongoze kwa miaka mitano tu alafu akimaliza tumpe Lukuvi Miaka Kumi
 
Majaliwa kuwa rais?. Huyu mwenye roho mbaya ya kinyama awe rais wa nchi gani?

Akiwa DC wa Urambo aiwafanyia unyama wafugaji waliokuwa kwenye pori la hifadhi.

2020 alipita bila kupingwa kwa kuwateka wapinzani wake jimboni.

Majaliwa hafai. Ni mwongo mwongo Sana. Alitudanganya Magufuli anachapa kazi kumbe kafa.
 
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Hakuna utaratibu kwa rais wa mpito. Wachukue form tuu halafu tune kama mama atatoboa.
 
Ukiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.

PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.

Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Daaa ndio tumepoteza sasa
 
Back
Top Bottom