Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Majaliwa kasimama msikitini, akadanganya watu rais mzima anachapa kazi.

Kumbe rais anajifia zake huko.

Huyu naye wanamsema anafaa kuwa rais?
😂😂😂😂😂
Eti kumbe Rais anajifia zake huko 🤣🤣🤣🤣

Pep .

Mimi nilimwamini Majaliwa..
Zile taarifa za kifo cha Rais zilinistua sana.
 
Jamani samaki ndo anafaa kuwa Rais!! na hajulikani saana!! nyie subirini muone maajabu....ila hawa wanao mpigia chapuuu Majaliwa ndo wanamroga kabisaaaa!! hatokaa afikiriwe ktk historia ya nchi hii Rais huwa ni jina fiche sana!! litatoka pasipo kujulikana wala kutabirika!!

Nani alimjua mwinyi, mkapa, Jakaya, sijui huyu nani huyu msema hovyo huyuu..... nani vile nimemsahau..........naomba mnikumbushe!
 
Mkuu mwongo ni mwongo tu,haijalishi alisimama wapi...
Big no!!! kuna uongo Mtakatifu unao fanana na ukweli!! huo hata Mungu anautambua vizuri tu!! na Mungu si muongo!!!.....kwa mfano Mwizi anatafutwa kuuawa....na watu wenye hasira....bahati nzuri kapita nyumbani kwako Paap!! kajificha humo kimyaaa!!!

Hamadi watu wenye hasira na Mapanga, Marungu, wakapitia hapo kwako fyuuuum!! wakimsaka mwizi wao kumdhuru!! ...wakakuuuliza Utuonavyo tunamsaka mwizi wetu!! je umemuona kapitia hapa Bwana??....utajibu nini km weye............

Basi ndo ivo na kwa Majaliwa pia hakutaka wabongo mpate taabu ya kuzimia hovyo!! sasa nyie mtu ana wasaidia msife mnamwita muongo..... hata km weye humpendi kuna wengine wanampenda sana!
 
Kuna kuongopa katika comedy show unaweza kusema una muktadha wa kuchekesha watu na artistic license na upande mwingine kuna kudanganya kama kiongozi wa nchi msikitini.
Majaliwa ajaanza leo kutuongopea,
Hakika hatujasahau,hayo ni machache tunayoyajua,je ni mangapi hatuyajui na amekua akituongopea?
Hakika simwamini hasilani,
Kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano.
 
Big no!!! kuna uongo Mtakatifu unao fanana na ukweli!! huo hata Mungu anautambua vizuri tu!! na Mungu si muongo!!!.....kwa mfano Mwizi anatafutwa kuuawa....na watu wenye hasira....bahati nzuri kapita nyumbani kwako Paap!! kajificha humo kimyaaa!!!

Hamadi watu wenye hasira na Mapanga, Marungu, wakapitia hapo kwako fyuuuum!! wakimsaka mwizi wao kumdhuru!! ...wakakuuuliza Utuonavyo tunamsaka mwizi wetu!! je umemuona kapitia hapa Bwana??....utajibu nini km weye............

Basi ndo ivo na kwa Majaliwa pia hakutaka wabongo mpate taabu ya kuzimia hovyo!! sasa nyie mtu ana wasaidia msife mnamwita muongo..... hata km weye humpendi kuna wengine wanampenda sana!
Umeandika nini hiki?
JPM ndio wa kwanza kuumwa?
Ameumwa Mw.Nyerere,
Ameumwa mkapa na wote mbona tulitangaziwa?
 
Majaliwa ajaanza leo kutuongopea,
Hakika hatujasahau,hayo ni machache tunayoyajua,je ni mangapi hatuyajui na amekua akituongopea?
Hakika simwamini hasilani,
Kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano.
Kwanza Majaliwa si mbunge halali. Hajashinda ubunge, amepita bila kupingwa.

Ubunge huo haupo kwenye katiba.

Na kama si mbunge wa kuchaguliwa, Uwaziri Mkuu wake si halali.

Pili, Majaliwa hajaapishwa na rais kuwa Waziri Mkuu.

Katiba inamtaka rais kumuapisha Waziri Mkuu mara baada ya kuchukua kiti cha urais.

Nchi inaenda arijojo, katiba haifuatwi.
 
Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.

Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.

Hakuna nabii anaekubalika kwao.

Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.

Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.

Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.

Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
Just like so many PM's walitamani sana alianza malechela , Msuya, Sumaye, Pinda , Lowassa Ila hawajawahi kupanda zaidi ya hapo.

Kwa style ya CCM ni rahisi sana kwa Makamu wa Rais kuwa Rais Ila sio kwa Waziri Mkuu.

Mama keshaingia ananiweka sawa agombee Tena 2025 Ina maana mpaka 2030 majalliwa atakuwa keshazeeka if at all akiwa bado mzima na akiwa bado PM.

By the time 2030 mama nae atakuwa anataka kuacha watunwake wakumlinda kwa hiyo hii game imebadilika sana labda nae afariki Kama Magufuli hapo mchezo utarudi kwa.kipa.
 
Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.

Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.

Hakuna nabii anaekubalika kwao.

Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.

Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.

Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.

Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
Labda Rais wa Namungo Fc
 
Kayafa & co
 
Back
Top Bottom