Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Ukiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.

PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.

Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Haiwezekani kivip Kwan kavunja Sheria
 
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Ndugai anafaa zaidi ya Kassim.
 
nani kakuambia kuwa magu alikuwa na mpango wa kutoka madarakani? acha kujadili vitu ambavyo visingewezekana.
 
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Tangia aliposema JpM anachapa kazi ilhari anajua yuko mortuary sina hamu naye tena!!
 
Zamu ya wazanzibar kula. Kuitupa tanganyika yetu kunatugharimu sana. Sterling ataweka mzanzibar mwenzie kama alivyofanya utalii, mambo ya ndani, uchukuzi na sekta kibao full makobazi.
 
Kwa katiba yetu ni ngumu sana kumlaumu Waziri mkuu huku kuna Rais hata hivyo walijitahidi kwa kiasi Chake .
na aliposema walioangalia Mazishi ya mwendazake kupitia LIVE wafikia Bilioni 6 Duniani kote
huyo bure kabisa acheni twende na Mama tutamuongezea km Magufuli walivyotaka atawale kabisa, God akakataa
 
Hivi hatuwezi kufanya kitu,tukatengeneza historia kwenye nchi hii?

Mi naamini inawezekana, kichwani hapo anatakiwa mwanaume
Kbsa Yaan tuachame tu na mma yetu mnk mam hajui kitu anadanganywa tu na kina mwigulu yaani mbna burkinafaso wanapindua serekali na Chad Hilo na hakuna mpuuz anaoji oji
 
Majaliwa kuwa rais?. Huyu mwenye roho mbaya ya kinyama awe rais wa nchi gani?

Akiwa DC wa Urambo aiwafanyia unyama wafugaji waliokuwa kwenye pori la hifadhi.

2020 alipita bila kupingwa kwa kuwateka wapinzani wake jimboni.

Majaliwa hafai. Ni mwongo mwongo Sana. Alitudanganya Magufuli anachapa kazi kumbe kafa.
Hilo haiwezi kumfanya asiwe rais Nani Hana makosa yake binfsi ila mm Nina Imani Sana na katelephoni yaani anaweza kutusaidia angalau duh mam huyu hpn leave kweli Ni ovyo kulikoni dah juz nilifanya picha yake baada tu ya kuona
 
Ukiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.

PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.

Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Sasa Nani was kututoa Happ Nani apewe kijiti mpngo ndio kbsa viazi Nani tumbebeshe zigo hili
 
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?

Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Napita taratibu
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kwa mila na desturi za Nchi yetu, labda Majaliwa ashike kuanzia 2025 hadi 2030, kwani 2030 Rais ni lazima atoke Vatican.
 
Back
Top Bottom