Kasinde wapi?

Kasinde wapi?

Mpendwa umenizulia balaa, mbona mie nipo nimejaa tele na jana ndo nimetua bongo. Muda ulioanza kunitafuta humu sikuwa hewani na mambo ya foleni hadi kufika home nikalala. Nipo nimejaa tele, wasemajeee!!! Hivi tunafahamiana? Karibu nipo hapa.

Nimekumis sana kasinde na post zako ndo mambo ya ughaibuni nini?
Japo salam tu tukumbukage
 
Hahaha! Jamani zawadi za abroad umetuletea? Hebu tufahamishe umevumbua nini huko. Manake hata maswali ya kukuuliza sina clue, niliishia ulipokuwa unafanya jogging mtaani ulipofikia kuna lami.
Mpendwa umenizulia balaa, mbona mie nipo nimejaa tele na jana ndo nimetua bongo. Muda ulioanza kunitafuta humu sikuwa hewani na mambo ya foleni hadi kufika home nikalala. Nipo nimejaa tele, wasemajeee!!! Hivi tunafahamiana? Karibu nipo hapa.
 
Inahusiana na nini???
Hata mie sijui maana heading inasema Kasinde wapi?sasa sijui anamaanisha Kasinde uko wapi au wapi kitu gani...!!?? ngoja akija mtoa mada aseme mie nimeitika wito tuu
 
Mbona jana alikuwepo?
Eeehh asante mwaya naona wewe watakuelewa na kukuamini maana wachangiaji wengine washaanza kunizushia. Kasinde kajaa tele MMU, skukuu njema rafiki.
 
Nimeitika wito rafiki sasa aliyeniita simuoni, by the way pizza yako ipo na burger na hotdog juu.
Kasinde waitwa uku.....alafu ukija uku usisahau ile pizza ulo niahidi!
 
Last edited by a moderator:
Shosti zawadi zipoo kuanzia perfume, vigauni, viatu, vipochi vidogo, saa za mkononi na mazaga zaga kibao. Mie huko ughaibuni nilienda kustarehe, habari za uvumbuzi nimewaachia wenyewe. Nilikuwa nakula, nalala, kwenda disco/club mazoezi sikuacha jogging. Kule nili crush na Sean kijana wa ki black american as usual no string attached kila mtu amekula ustaarabu wake baada ya crush. Sasa nimerudi kuzichanga tena na kuanza kuplan vacation ya mwakani. Nilipofikia kwa mizunguko niliyofanya sikukutana na barabara ya vumbi, ni lami kuanzia airport hadi kitaa. Flyovers ndo usiseme

Hahaha! Jamani zawadi za abroad umetuletea? Hebu tufahamishe umevumbua nini huko. Manake hata maswali ya kukuuliza sina clue, niliishia ulipokuwa unafanya jogging mtaani ulipofikia kuna lami.
 
Kasinde umerudi salama.....(ndani na nje)??

Na Sean umemwacha au umebaba kiroba na kutua nacho Bongo?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa nimesalimika ndani na nje babu. Sean nimemuacha kwao nimerudi mwenyewe nizichange tena kwa ajili ya likizo ya mwakani full kula ujana

Kasinde umerudi salama.....(ndani na nje)??

Na Sean umemwacha au umebaba kiroba na kutua nacho Bongo?
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa umenizulia balaa, mbona mie nipo nimejaa tele na jana ndo nimetua bongo. Muda ulioanza kunitafuta humu sikuwa hewani na mambo ya foleni hadi kufika home nikalala. Nipo nimejaa tele, wasemajeee!!! Hivi tunafahamiana? Karibu nipo hapa.

Hi kasinde...ulikuwa kimya mno...uko mzima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom