Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nimejaa tele kama pishi la mchele, mzima na buheri wa afya
Hi kasinde...ulikuwa kimya mno...uko mzima?
Hi kasinde...ulikuwa kimya mno...uko mzima?
Nimejaa tele kama pishi la mchele, mzima na buheri wa afya
Hahahahaaa nilipumzika tuu jana sikuwa na crush. Kwanza huyu@NAJA ni ke aume