Kashi kashi za simu

Nenda ukae na mama yako umwambie hauko tayari kuoa binti wa kuchaguliwa.

Unatakiwa uongee na wazazi wako kwa upole don panic, wape sababu za msingi ikiwezekana wambie madhara ya kuchaguliwa mwanamke!

Usijibu kwenye simu,funga safari uende ukawaone wazazi wako.
 
Strike, kinachohitajika ni kukaa chini na mzazi wako na kumuelimisha kuhusu faida na hasara za kuchaguliwa mke, kwani wewe ndiyo unaenda kuishi nae na wala sio yeye.
Na kama huna mpenzi na wewe unaona huyo anafaa kuwa nae basi tumia nafasi hii kumtambulisha kwa mama yako.
 
Mkuu, naunga na wanaosema nenda home kwa maza kawaone hao mabinti, ukipendezwa na mmoja wapo, jipange kwa ndoa usikurupuke, na kama hutawapenda mwambie mama hujampenda hata mmoja, so mama ataendelea kutafuta mwingine but na wewe sasa uingie mzigoni kuanza kutafuta mchumba.

Uzuri ni kwamba mama hajakulazimsha kuoa amekwambia nenda kawaone uchague
 
Ohoooooooooo, i am in trouble..plzz heeellllppp!! Tumekuchagulia mabinti wawili..uje uangalie yupi anakufaa uoe..mabinti wa huko mjini wahuni na matapeli tu...Ohoo..nifanyaje wadau??

Ina maana wewe huna uliye muandaa? Mabinti wa kijijini huwa wanapata tabu sana kuendana na chamoto zilizopo mjini kwa hiyo unabidi uwe makini kweli kwenye hao uliochaguliwa!
 
nawashukuruni wote kwa ushauri wenu..yote yanafaa..
 
nawashukuruni wote kwa ushauri wenu..yote yanafaa..

Wewe ni mwanaume dhaifu kama nanihii! Unaomba ushauri wa nini na wakati wewe ni mwanaume tena over 18 years? Umeshindwa kuwaambia wazazi wako kuwa wewe unao uwezo wa kumchagua umpendae? Be a man and have your own decision! A great/strong man is the one who can stand alone baba!!! Alafu kama sijakosea wewe ni wa ule mkoa ule.............
 
mbona simple tu...

unamwambia mama, nashukuru kwa upendo na kujali kwako,
lakini bhati mbaya hapana, sitoweza kuchagua yoyote kati ya hao...
tayari ninae ninayempenda.....

daaah ila mabo ya kuchaguliana hayo sio mzuka kabisa...

na kama huna mtu si uende ukawatazame? labda unaweza "mdondokea" mmoja au unaweza kuwakataa wote....
 
inaonekana bimkubwa wako hakuwa anapata tetes zozote za mahusiano ya mtoto wao,so hiyo ni njia ya kumfanya ajue kwamba ana dume la mbigu, hivyo mwambie unae mkwewe mtarajiwa atakuelewa na hatakusumbua tena, wakinamama wanapenda kujua mishemishe za watoto wao kuhusu mahusiano.
 
Mkuu nenda kasaminishe kwanza, unaweza shangaa ukakuta watoto wa ukweli balaa..!
 
Mimi simu yangu masaa 24 iko kwenye SILENT,kwa hiyo hainisumbui kam patner wangu(ingawa kwa sasa sina) sımu yake ikiwa kwenye SILENT MODE/PROFILE,
Ila nataka kujua wewe unawachukuliaje watu ambao simu zao always ziko kwenye SILENT especial km ni mtu uliye kwenye mahusiano naye..
 
Lol, my lips are locked, manake zipping naona ni hatari.....:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Just like the warm weather is a harbinger of spring being too discreet in a relationship is a harbinger of some hanky-panky business.
 
Sijihusishi na simu yake kwani sio yangu!Na simu yake hainihusu!
 
Back
Top Bottom