Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,651
Duh! i wish to take back my earlier comments kuwa Luhigo alikuwa ni mshenzi na mla rushwa kwa sababu source yangu haijakamilika...maana nimepewa info kuhusu minongono ya ulaji rushwa wakati wale wadachi walipopewa contract ya kupanua bandari lakini sijapewa taarifa za kutosha kuhusu hilo hivyo ningependa kuwidhraw my initian allegation mpaka hapo nitakapopata credible data
Kwa hilo nakupa pongezi. Laiti baadhi ya wengine wangekuwa hivi kama hapo ulivyokubali kuwa "ze dataz" zako hazijakamilika, kusingekuwa na hostilities kama ilivyo sasa.
Having said that, it doesn't mean Mr.Luhigo wasn't corrupt.