Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
- Thread starter
- #141
Luhigo kafanya "ushenzi" gani na "kala rushwa" kivipi?
Umejuaje wanamuogopa Rostam kwa assessment ya tatizo la shirika through kuhesabu meli kutoka baharini kama mzamiaji wa "sauzi"? Au unahisi wanamuogopa tu Rostam kwa vile siku moja watamuhitaji kumwomba mkopo binafsi ka Mtikila? Do you have a clue or two about the setbacks of Harbors Authority management?
Kama kinachokuumiza ni Tanzania kukosa hizo kodi ni kwa nini ume suggest kwamba wakamtoe kiongozi wa Revenue Authority, ambae unaona anafanya kazi nzuri kule, wamlete Bandari? Sasa, kama kweli concern yako ni forodha inayokosekana, je ni wapi wanahitaji uongozi bora zaidi, wanaokusanya kodi Mamlaka ya Bandari au wanaohakikisha kodi za Mamlaka ya Bandarai na za nchi nzima zinakusanywa? Au kilichokuumiza ni kwamba kama ulivyosema mwenyewe "al muhimu ni kwamba nilituma kontena mwezi wa 11..." and all that yiddy yad? Uko well oriented kweli wewe?
Ukakimbia kuja JamiiForums kutangaza kuwa viongozi wote wa Mamlaka ya Bandari ni mafisadi na kudai wamba "we dare to talk openly," lakini unasema kuna ka siri umekabakiza moyoni kuhusu mambo ambayo kina Mollel wanamsema Kikwete! Ndio ume dare nini hapo? I mean, umekula wewe leo?
Makontena yanachelewesha kwa sababu hakuna nafasi halafu unaongeza "to be fair wanaotuma magari dogo wao meli zao zinapata nafasi..." Kwa hiyo, I guess magari madogo yanakuja kwenye viboxi na vi mitumbwi vidogo vidogo na hivyo vinaweza kuwa sqeezed through the crowded moors of the harbor, unlike magari makubwa kama yako, right? That's the only way that your assertion is gonna make sense here, no other way. I'll tell you what, why don't you put all these large cars and cargo you are importing in ports throughout the east coast of Africa, put them all in one leased aircraft and ship 'em or shove 'em, that way you won't have to hussle with these "washenzi...wala rushwa," it's quicker too, I'm sure your accountant will have told you that, might end up saving you time and money, big Kahuna.
Eti Luhigo alikuwa "mla rushwa" na "mshenzi", hapo hapo unasema "alikuwa akifanya kazi...i am not gonna knock him down"? Sasa hiyo siyo knock tayari? Au sielewi hiyo "knock down," what you mean "knock down" anyway, I mean, that right there is a knock already, a criticism, if that's what you mean by "knock down."
I mean, I don't know whether it's the drug you're taking or the drug you need to be taking, but do something!
naona unaanza kuuzunguka Mbuyu kama kawaida ya watu wengine humu...mjomba meli tumeambiwa zimejaa kule baharini kwa sababu hakuna nafasi kule bandari sasa hayo mumbo jumbo unayotuletea hayaingii akilini tunachikitaka ni meli kutia nanga na mizigo yetu itolewe on time.