...this is unfair lakini mimi niko kule kule WE DARE TALK OPENLY
...BODI na MENEJIMENTI ya THA wanavyofanya kwa sababu wanamwogopa ROSTA,KARAMAGI ambao ni wadau wakubwa wa TICS. Usiku huuu nimehesabu MIGAWE au meli zilizojazana kule baharini na nimeishia 21...yaani zote zile zinashindwa kutia nanga kwa sababu hakuna nafasi..,huu ni UJUNGA,UZEMBE NA UFISADI wa hali ya juuu ya wafuatao:
...SHUKURU KAWAMBWA alishawaambia akina Mollel kama wameshindwa kazi basi serikali itaivunja bodi lakini nashangaa wakikaa kwenye vikao vyao vya unywaji wanamtukana eti waziri ana mambo ya kiswahili na anatafuta attention! wanayoyasema kuhusu JK ndio siwezi hata kusema humu.
al muhimu ni kuwa nilituma Kontena mwezi wa 11 toka Hanoi mwishoni mwa mwezi wa 11 na kilichotokea ni kuwa mpaka leo naambiwa bado meli haijapewa nafasi ya kuingia...to be fair wanaotuma magari dogo wao meli zao zinapata nafasi hivyo kama kuchelewa ni miezi miwili
...Unajua LUHIGO japo alikuwa ni mshenzi mshenzi na mla rushwa enzi zake lakini JAMAA KAZI ALIKUWA NAFANYA....i am not gonna knock him him down
...Inaniumz akuwa serikali imekosa pesa nyingi toka kwangu kwa sababu ya uzembe wa hao niliowataja kwa sababu wanaogopa kuwaambia TICS kuwa wamebreach contract yao na kazi wameshindwa WHY ? kwasababu zaidi wanamwogopa ROSTAM na kampuni yake...jambo ambalo Jakaya hana kinyongo in the wake of huu ufisadi left and right
...Suggestion yangu ni kuwa mindhali KIMEI wa CRDB au jule bosi wa TRA wanafanya kazi nzuri tuuu kwa nini JK asimuapoint mmojawao kwenda kuisort out THA? maana Mgawe na GENGE lake la MAFISANI naona wameshindwa kazi ...
Luhigo kafanya "ushenzi" gani na "kala rushwa" kivipi?
Umejuaje wanamuogopa Rostam kwa assessment ya tatizo la shirika through kuhesabu meli kutoka baharini kama mzamiaji wa "sauzi"? Au unahisi wanamuogopa tu Rostam kwa vile siku moja watamuhitaji kumwomba mkopo binafsi ka Mtikila? Do you have a clue or two about the setbacks of Harbors Authority management?
Kama kinachokuumiza ni Tanzania kukosa hizo kodi ni kwa nini ume suggest kwamba wakamtoe kiongozi wa Revenue Authority, ambae unaona anafanya kazi nzuri kule, wamlete Bandari? Sasa, kama kweli concern yako ni forodha inayokosekana, je ni wapi wanahitaji uongozi bora zaidi, wanaokusanya kodi Mamlaka ya Bandari au wanaohakikisha kodi za Mamlaka ya Bandarai na za nchi nzima zinakusanywa? Au kilichokuumiza ni kwamba kama ulivyosema mwenyewe "al muhimu ni kwamba nilituma kontena mwezi wa 11..." and all that yiddy yad? Uko well oriented kweli wewe?
Ukakimbia kuja JamiiForums kutangaza kuwa viongozi wote wa Mamlaka ya Bandari ni mafisadi na kudai wamba "we dare to talk openly," lakini unasema kuna ka siri umekabakiza moyoni kuhusu mambo ambayo kina Mollel wanamsema Kikwete! Ndio ume dare nini hapo? I mean, umekula wewe leo?
Makontena yanachelewesha kwa sababu hakuna nafasi halafu unaongeza "to be fair wanaotuma magari dogo wao meli zao zinapata nafasi..." Kwa hiyo, I guess magari madogo yanakuja kwenye viboxi na vi mitumbwi vidogo vidogo na hivyo vinaweza kuwa sqeezed through the crowded moors of the harbor, unlike magari makubwa kama yako, right? That's the only way that your assertion is gonna make sense here, no other way. I'll tell you what, why don't you put all these large cars and cargo you are importing in ports throughout the east coast of Africa, put them all in one leased aircraft and ship 'em or shove 'em, that way you won't have to hussle with these "washenzi...wala rushwa," it's quicker too, I'm sure your accountant will have told you that, might end up saving you time and money, big Kahuna.
Eti Luhigo alikuwa "mla rushwa" na "mshenzi", hapo hapo unasema "alikuwa akifanya kazi...i am not gonna knock him down"? Sasa hiyo siyo knock tayari? Au sielewi hiyo "knock down," what you mean "knock down" anyway, I mean, that right there is a knock already, a criticism, if that's what you mean by "knock down."
I mean, I don't know whether it's the drug you're taking or the drug you need to be taking, but do something!