Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
- Thread starter
- #81
Najua mtaanza ohhh GT umezidi mara ohhh GT this is unfair lakini mimi niko kule kule WE DARE TALK OPENLY na mindhali tunapiga vita ufisadi nadhani ni vizuri tukamsaidia JK kufanya kazi yake.
Definition ya UFISADI si kuiba kama walivyoiba pesa za EPA au kama ambavyo Spika Sam Sitta kujenga ofisi la mamilioni ya dola kwa pesa za walalahoi bali ufisadi ni pamoja na kuokosesha serikali mapato kama ambavyo BODI na MENEJIMENTI ya THA wanavyofanya kwa sababu wanamwogopa ROSTA,KARAMAGI ambao ni wadau wakubwa wa TICS.Usiku huuu nimehesabu MIGAWE au meli zilizojazana kule baharini na nimeishia 21...yaani zote zile zinashindwa kutia nanga kwa sababu hakuna nafasi..,huu ni UJUNGA,UZEMBE NA UFISADI wa hali ya juuu ya wafuatao:
zaidi ya hayo mheshimiwa SHUKURU KAWAMBWA alishawaambia akina Mollel kama wameshindwa kazi basi serikali itaivunja bodi lakini nashangaa wakikaa kwenye vikao vyao vya unywaji wanamtukana eti waziri ana mambo ya kiswahili na anatafuta attention! wanayoyasema kuhusu JK ndio siwezi hata kusema humu.

Jamani hawa ndio wanaosababisha zile meli kukaa bandarini tangu NOVEMBER na hawa ndio MAFISADI WAKUBWA BANDARI ya DSM...sasa anayebisha aje lakini ukweli ndio huo.Inauma eti tunashusha Kontena Mombasa kwa sababu tuuu hakuna mtu aliyetaka kukubali kuwa hawa watajwa wameshindwa kazi zao...mtu usiku unatazama bandari utafikiri ni mji mwingine !
1)Mr. Ephraim Mgawe
Director General
2)Mrs. Happiness Senkoro
Deputy Director General
3)Mr. Hamad Koshuma
Executive Assistant to the Director General
Director of Operations: Capt. G. Mokiwa
Director of Special Operations: Mr. B. Komba
Director of Marketing: Mr. Flavian Kinunda
Director of Human Resources: Ms. M. Mrisha
Director of Planning: Mrs. Florence Nkya
Corporate Communications Manager: Mr. Franklin Mziray
Port Manager wa Dar Es Salaam: Mr. Jason Rugaihuruza