Kashfa kwa wa Tz mitandao ya Kenya

we have nothing to lose in EAC zaid tumewazid kete miundo mbinu ya EAC ipo ARUSHAAAAAA!Hapo wataona vumbi tu hahahaha!
 
attachment.php
 
I take deep offense, the fundamental truth is the there is very little difference between the rural Kenyan population and the rural Tanzanian population, same applies to the working classes too. It is absurd to suggest its a Tanzanian, it could be as well Kenyan as any nationality. There are people in Austria who are as unused to technology as anywhere in the world, I take deepest of offense.
 
Ndio maana kwao kila siku kesi za kubaka punda na kuku haziishi kama wangekua wanajielewa hayo matukio tusingeyasikia kabisa
 
Kwa hiyo wakenya walikaa wakaamua kutunga hiyo ?
Acheni uchochezi wa kijinga.
Huko ni kujenga chuki.
Wakenya ni ndugu zetu !
I agree with you. Sio kila kitu kinachowekwa na mwandishi mmoja kichukuliwe kama ni wakenya wote. Kulipuka kwa hasira ni dalili za inferiority complex
 
Nyaambaffff hawajui tunataka kuhamia nchi SADC ni nchi zilizoendelea na ni nchi zizokua na maneno wala migogoro sio hawa tumeshawaona hawana mpango na sisi, na siwatu wa amani kukicha ni migogoro tu ni bora twende kwa wenzetu tuliowakomboa
 
Nimekuwepo Kenya, nina marafiki na hata mashemeji Wakenya, nimefanya kazi na Wakenya, hawana lolote tofauti na Watanzania, zaidi sana wengi wao ni watumwa katika nchi yao.
Ni upuuzi mkubwa kushabikia utajiri au hali nzuri za Wageni au majirani zako wakati wewe ni masikini wa kutupwa, sawa na kushabikia takwimu za uchumi mzuri wa nchi yako kumbe hata mlo wa siku moja ni tatizo kwako!
Hiyo ni post ya mpuuzi fulani tu.
 
ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,
Nadhani wao wana lift mpaka vijijini!!
 
ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,

nyie ndo mnaandikwa....are u okay?red inakuhusu
 
I agree with you. Sio kila kitu kinachowekwa na mwandishi mmoja kichukuliwe kama ni wakenya wote. Kulipuka kwa hasira ni dalili za inferiority complex

Acheni mambo ya kujipendekeza kwa watu wasiotupenda! Ndugu wa nani hao--we vipi?
 
So wakenya wamechukia sana kufukuzwa Tz, hawa jamaa hawapendi kwao sijui kwanini. Ukienda US na UK wamejaa hawawazi hata kurudi kwao. Sasa Tz imewafukuza wanachukia sijui wanachukia nini kurudi kwenye linchi lao
 
Werema aliwaandikia ICC kuhusu Ruto na Uhuru.
Jk na serikali yake wamemkataa Balozi wa Ujerumani kuwafurahisha Wakenya!!!
 
Back
Top Bottom