msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
we have nothing to lose in EAC zaid tumewazid kete miundo mbinu ya EAC ipo ARUSHAAAAAA!Hapo wataona vumbi tu hahahaha!
I agree with you. Sio kila kitu kinachowekwa na mwandishi mmoja kichukuliwe kama ni wakenya wote. Kulipuka kwa hasira ni dalili za inferiority complexKwa hiyo wakenya walikaa wakaamua kutunga hiyo ?
Acheni uchochezi wa kijinga.
Huko ni kujenga chuki.
Wakenya ni ndugu zetu !
Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.
Nyambaf zao!!
Nadhani wao wana lift mpaka vijijini!!ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,
Harafu jamaa anaonekana ni kada wa ccm!Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.
Nyambaf zao!!
ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,
ati unagonga hodi kwa lift????
ndo maana hamtakiwi kwa EAC?
I agree with you. Sio kila kitu kinachowekwa na mwandishi mmoja kichukuliwe kama ni wakenya wote. Kulipuka kwa hasira ni dalili za inferiority complex
ati unagonga hodi kwa lift????
ndo maana hamtakiwi kwa EAC?