Kashfa kwa wa Tz mitandao ya Kenya

Kashfa kwa wa Tz mitandao ya Kenya

Hahahaha kazi ipo imewauma sana kutowaunga mkono na jumuiya yao fake
Bado hainiingii kichwani kitendo cha comrade werema kuandika barua ICC kuhusu hao uhuruto...
kwa maslahi ya nani?
huyu naye comrade?? duh na muswada huu wa marekebisho ya katiba??
Wanajua baada ya uchaguzi watakuwa hawana pa kukimbilia 2015 ni kuwapeleka nao ICC
TUMECHOKA NIMESEMA WAPIGWE TU
 
ati unagonga hodi kwa lift????ndo maana hamtakiwi kwa EAC?
Hapo hapo wanaomba viongozi wa Tanzania wawasaidie Viongozi wao wasiburuzwe mahakamani the Hague, si hilo tu wanataka nchi zote za kiafrica zijitoe ICC kwa kuwahunga mkono, yaani matatizo ya watu watatu ndio wanataka Africa nzima ifanye mambo ya kitoto kwa kuwateteawatu ambao hatuna uhakika kama wako innocent au la; nimefurahishwa na tamko la Nigeria ambayo imekomaa kwamba yenyewe haina ugumvi na ICC, itaendelea kuwa member wa kitengo hicho muhimu Duniani.
 
ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,

Hivi maana ya kukua uchumi ni nini?Tafadhali mimi ni mtanzania ila naona hali inazidi kuwa tete!nafanya kazi kuliko kawaida masaa 16 kila siku,ila kweli nashangaa sana mnaposema uchumi unakua

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hivi maana ya kukua uchumi ni nini?Tafadhali mimi ni mtanzania ila naona hali inazidi kuwa tete!nafanya kazi kuliko kawaida masaa 16 kila siku,ila kweli nashangaa sana mnaposema uchumi unakua

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Tumia data za CCM utaona jinsi gani uchumi umekua
 
Watu wanataka kuona mabadiliko ya uchumi yakiendana sawa na mabadiliko ya maisha yao. Data za ccm hazitusaidii chochote. How can we expect them to be honest if they themselves are the bad guys?
 
Back
Top Bottom