rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Hivi EAC ni jina lililochaguliwa tu au ni kwa nchi zilizopo eneo hilo..??ati unagonga hodi kwa lift????
ndo maana hamtakiwi kwa EAC?
Nyang'au ni nyang'au tu!!!
Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.
Nyambaf zao!!
Ha ha hah, mi naona poa tu wacha watusanif. Hawa jamaa unajua ni watani zetu. Hebu cartoonist wetu na nyie jibunu mapigo.Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.
Nyambaf zao!!
Wakenya wana nini kwani??? hawatufikii kwa lolote wanaitolea mimacho nchi yetu na hawatupati ng'ooooo! Kaeni na malift yenu tutabaki watanzania kwa raha zetu. Eti EAU = badilisheni jiographia ya dunia tuwe WAU .......
Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.
Nyambaf zao!!
Ndugu zako mwenyewe, siwezi kuwa na udugu na nyang'auKwa hiyo wakenya walikaa wakaamua kutunga hiyo ?
Acheni uchochezi wa kijinga.
Huko ni kujenga chuki.
Wakenya ni ndugu zetu !