Karucee naomba nikutafutie avatar

Karucee naomba nikutafutie avatar

Amazing. I will always be amazed at this. Lol. Maybe its the same way am crazy about cars. Lol.


BMW-X5_Security-2009-wallpaper.jpg
 
Hahahah im also crazy about cars. Big masculin cars with big tyres (nilimuambia mkaka mmoja sipendi ferrari wala posche akanishangaa). Nahisi nna kichaa kwa mbaaali
Amazing. I will always be amazed at this. Lol. Maybe its the same way am crazy about cars. Lol.

aisee, i promise you ukiipata ile picha nitaitumia tena kama avatar. Niliitoa siku moja nikitaka kuwa faceless na nikashindwa kuipata in my gadgets.
Ewaaaa Mr & Mrs Smith ni movie nvuri sana.....,
Yah kwenye picha ile ni mdada yupo kwa ground na mtambo wake tayari kwa kazi.
Embunitafute, ningeiweka hapa niliidownload kwa pc ingine imeloga so sina!

hujapotea mkwe, huu ni ukoo wa bahati. Nyota ya jaha itakumulikia hadi ushangae. Ila ile ya kwanza ya lips ilikuwa utraaata wifi AshaDii alipoomba poo nikaitoa
mara bunduki mara magwanda ya jeshi... hivi mkwe njia ya ukoo sijapotea mie?
 
Last edited by a moderator:
I like 'em big and fierce looking too.Porsce ni girlish.
Hahahah im also crazy about cars. Big masculin cars with big tyres (nilimuambia mkaka mmoja sipendi ferrari wala posche akanishangaa). Nahisi nna kichaa kwa mbaaali

aisee, i promise you ukiipata ile picha nitaitumia tena kama avatar. Niliitoa siku moja nikitaka kuwa faceless na nikashindwa kuipata in my gadgets.

hujapotea mkwe, huu ni ukoo wa bahati. Nyota ya jaha itakumulikia hadi ushangae. Ila ile ya kwanza ya lips ilikuwa utraaata wifi AshaDii alipoomba poo nikaitoa

Mtoa mada.. u have made my sunday!! Nimecheka mno....
Lols. Mie nilishangaa.
 
Last edited by a moderator:
Karucee chagua avatar hapo jamaa kahangaika kukutafutia
mi nimependa kikatuni kinakatika kichwa na kuota tena ha ha ha
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    2.9 KB · Views: 44
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom