Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Inabidi tu uweke,hizi za kuchaguliwa mmmh vikatuni!
Teh teeeeeh. My next mission.
Inabidi tu uweke,hizi za kuchaguliwa mmmh vikatuni!
Teh teeeeeh. My next mission.
I love you much more
:A S-rose:
Umbea unan'toa roho huku hehehehe
sidhani kama Karucee ana swagga hizo.
mmmh babu na mjukuu.
Ya zamani ipi hiyo tena kaka/
Manake kuna ileeee ambayo AshaDii alisema ilimfanya aone siko serious, nikaitoa fasta nikaanza kubeba bunduki. Any gun makes me look and feel you know.....:mwaaah:


aliyoishitukia Ashadii wala sikuiona,
Ile yenye AK47 niliiipendaga sana!
Kwenye pink, you with gun I noticed....!
View attachment 137591View attachment 137592
You love guns??ahahaha,
unajua hii picha ni ya kwenye movie mr & mrs smith? Very nice movie, mtu na mkewe (actually brad pitt and jolie) wanawindana kuuana, wakishindwa wanamalizia na njunji.
ngoja nisicomment kwenye how guns make me feel kaka. ile picha ni mdada black amelala kwenye majani na ak 47 yake kama sniper? manake niliitoa na sikumbuki ilikuwa in which laptop, ila kuna siku nitaisaka upya
You love guns??
Amazing. I will always be amazed at this. Lol. Maybe its the same way am crazy about cars. Lol.hahahaha, should i answer that?
Ona hii makitu niliikuta robben island kwenye kisiwa alichofungwa madiba. Sikumbuki niliambiwa ni AK ngapi, na kuna nyingine 2 the other side of the island (hii ni ya kwenye entry). I was so excited yaani na nikapigwa picha kibao hapo na kuuliza how it was operated na nini. Lol
But I promise you, i am not violent. Hata kumsukuma mtu siwezi and I will never buy a gun (najiogopa)
![]()
ahahaha,
unajua hii picha ni ya kwenye movie mr & mrs smith? Very nice movie, mtu na mkewe (actually brad pitt and jolie) wanawindana kuuana, wakishindwa wanamalizia na njunji.
ngoja nisicomment kwenye how guns make me feel kaka. ile picha ni mdada black amelala kwenye majani na ak 47 yake kama sniper? manake niliitoa na sikumbuki ilikuwa in which laptop, ila kuna siku nitaisaka upya
mara bunduki mara magwanda ya jeshi... hivi mkwe njia ya ukoo sijapotea mie?Ya zamani ipi hiyo tena kaka/
Manake kuna ileeee ambayo AshaDii alisema ilimfanya aone siko serious, nikaitoa fasta nikaanza kubeba bunduki. Any gun makes me look and feel you know.....:mwaaah:
Amazing. I will always be amazed at this. Lol. Maybe its the same way am crazy about cars. Lol.