Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,154
2,000
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

Karla Jacinto, kutoka Mexico, anadai kuwa alilazimishwa kufanya mapenzi na walau wanaume 30 kila siku kwa zaidi ya miaka minne akiwa mtoto.

Alichukuliwa akiwa na miaka 12 baada ya kurubuniwa na kupelekwa Guadalajara, ambako alilazimishwa kufanya kazi kama changudoa. Aliokolewa mwaka 2008 kwenye operesheni maalumu huko Mexico City.

Sasa akiwa na miaka 24 baada ya miaka mingi aliyoitumia kusahau aliyopitia, amegeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu. Karla sasa anasafiri duniani kusaidia wahanga wengine wa utumwa wa kimapenzi na pia ameshakutana na Papa Francus kuzungumzia suala hilo.

Pole sana Karla Jacinto, ni ngumu sana ku deal na hali hii kwa mwanamke, na zaidi hua inambadilisha mwanamke,hata yale maisha ya kusema atake kuolewa ama kua na familia inakua ngumu sana, na pia waanajeuka kua very strong and powerful women kama Oprah Winfrey....sipati picha ya aliyokua anapitia kwa miaka minne mfulululizo.

God bless and protect all women.

1482468377675.jpg
 

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,636
2,000
mmh hii nayo story tu, labda mipini ya kimexico ni 3inchz, angekua bongo huyo kwa situation hiyo pengine angekua HAYATI KARLA
 

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
102
250
Mara 43,000 duh naona mpka nanii nyingine ilitaka kutokea hapi kwenye paji la uso
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,154
2,000
hapa ndiyo huwa naamini papuchi inanguvu kuliko dushe .. pole sana dada
Mhhh..
najiuliza japo nimemuonea huruma huyo binti,kwa wiki analala na wanaume 200+ na najiuliza walikua wanatumia kinga ama kavu ,kama hivo hivo vipi kuhusu mimba ama magonjwa ya zinaa ...au wenzetu hawana ...
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
Mhhh..
najiuliza japo nimemuonea huruma huyo binti,kwa wiki analala na wanaume 200+ na najiuliza walikua wanatumia kinga ama kavu ,kama hivo hivo vipi kuhusu mimba ama magonjwa ya zinaa ...au wenzetu hawana ...
wanayo mkuu probably walikuwa wanatumia kinga au vilainishi na wanamwaga nje may be .. ila ndiyo huruma tu hamna namna
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom