Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

Hizo story za kupata wafadhili, asitutanie watu 30 hiyo ni mass rape. Uongo
 
Siku ina.masaa 24..kama alikuwa anakazwa kila saa maana yakr dume lilikuwa linamwaga ndan ya dk 48...

My b njia halali 15
Na njia uhani 15 kwa siku na vilevile yataka nguvu haswaa hata km k ni elastic

Huyo dada kaongopa hata nikiwaza aingii akilini
 
wanayo mkuu probably walikuwa wanatumia kinga au vilainishi na wanamwaga nje may be .. ila ndiyo huruma tu hamna namna
Kuna msichana mmoja katika hizo nchi za Latin America alianzisha NGO ya kutetea wahanga wa human trafficking na waliowahi kubakwa pia, akijipmbanua kuwa yeye mwenyewe ni muhanga wa kubakwa, akidai kuwa yy alishabakwa na idadi kubwa sana ya wanaume akiwa teenager, mashirika mengi makubwa yakajitokeza kufadhili NGO yake na baadae akawa tajiri ghafla

Baada ya malalamiko ya wasichana waliokua wanahifadhiwa kwenye moja ya vituo vyake vya rehabilitation kuanza kulalamikia Hali ya maisha kwenye vituo hivyo, mamlaka mbali mbali nchini mwake zikaunda tume kumchunguza, baadae alifikishwa mahakamani kujibu mashtaki mengi ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, maana ilikuja kugundulika kuwa hata kubakwa kwenyewe hajawahi kubakwa, alitangaza hivyo ili kupata wahisani

Hata huyu inaweza kuwa hivyo, kwa uhalisia watu 30 kukubaka kwa siku huwezi kuwa binadam, Hapa Tanzania tunasikia kwenye media mara kadhaa binti kabakwa na watu watano na kafa au kaharibiwa vibaya kandahar, sasa itakua watu 30?
 
Kwa kweli sijui labda wanapiga kama jogoo
 
Huyo walikuwa labda wanagusa tu na kuondoka...kwichikwichi akinipa huyo round moja tu kaomba maji ya kunywa..
 
She is really beautiful...lkn angalia facial expression yake ...unaweza ona ni mtu wa aina gn..ts like km amejaa uchungu..maumivu..kisasi.hasira
Huyu ndo mzuri ana machungu na maisha na sidhani kama bado anahamu na mipimi huyo ni wife material.....ila ukimletea zengwe ni hatari maana anajua mengi huyu...
 
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

Karla Jacinto, kutoka Mexico, anadai kuwa alilazimishwa kufanya mapenzi na walau wanaume 30 kila siku kwa zaidi ya miaka minne akiwa mtoto.

Alichukuliwa akiwa na miaka 12 baada ya kurubuniwa na kupelekwa Guadalajara, ambako alilazimishwa kufanya kazi kama changudoa. Aliokolewa mwaka 2008 kwenye operesheni maalumu huko Mexico City.

Sasa akiwa na miaka 24 baada ya miaka mingi aliyoitumia kusahau aliyopitia, amegeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu. Karla sasa anasafiri duniani kusaidia wahanga wengine wa utumwa wa kimapenzi na pia ameshakutana na Papa Francus kuzungumzia suala hilo.

Pole sana Karla Jacinto, ni ngumu sana ku deal na hali hii kwa mwanamke, na zaidi hua inambadilisha mwanamke,hata yale maisha ya kusema atake kuolewa ama kua na familia inakua ngumu sana, na pia waanajeuka kua very strong and powerful women kama Oprah Winfrey....sipati picha ya aliyokua anapitia kwa miaka minne mfulululizo.

God bless and protect all women.

View attachment 449469
Hii c kwel aisee wanaume 30 kwa siku, siku ina masaa 24 je hao 30 alikuwa anatumia muda gani nao? Je alikuwa hapati muda wa kulala? Muda wa kuoga, kula kwenda haja, hata wa kuongea na bosi wake ? Kwa hiyo alikuwa hapati muda wa kufanya kitu chochote zaidi Ya kufanya ngono?
 
Ndo kaamua kujitangaza ili walau wafikie 50 kwa siku
 
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

Karla Jacinto, kutoka Mexico, anadai kuwa alilazimishwa kufanya mapenzi na walau wanaume 30 kila siku kwa zaidi ya miaka minne akiwa mtoto.

Alichukuliwa akiwa na miaka 12 baada ya kurubuniwa na kupelekwa Guadalajara, ambako alilazimishwa kufanya kazi kama changudoa. Aliokolewa mwaka 2008 kwenye operesheni maalumu huko Mexico City.

Sasa akiwa na miaka 24 baada ya miaka mingi aliyoitumia kusahau aliyopitia, amegeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu. Karla sasa anasafiri duniani kusaidia wahanga wengine wa utumwa wa kimapenzi na pia ameshakutana na Papa Francus kuzungumzia suala hilo.

Pole sana Karla Jacinto, ni ngumu sana ku deal na hali hii kwa mwanamke, na zaidi hua inambadilisha mwanamke,hata yale maisha ya kusema atake kuolewa ama kua na familia inakua ngumu sana, na pia waanajeuka kua very strong and powerful women kama Oprah Winfrey....sipati picha ya aliyokua anapitia kwa miaka minne mfulululizo.

God bless and protect all women.

View attachment 449469
Na kenyewe kalikuwa kanapenda uroda.
 
Back
Top Bottom