Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

Mmh 30 men kwa siku?!

Labda kama walikuwa wakiingiza tu au push ya tako moja tu wazungu hao! ! Wanavaa na kuondoka..,
 
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

Karla Jacinto, kutoka Mexico, anadai kuwa alilazimishwa kufanya mapenzi na walau wanaume 30 kila siku kwa zaidi ya miaka minne akiwa mtoto.

Alichukuliwa akiwa na miaka 12 baada ya kurubuniwa na kupelekwa Guadalajara, ambako alilazimishwa kufanya kazi kama changudoa. Aliokolewa mwaka 2008 kwenye operesheni maalumu huko Mexico City.

Sasa akiwa na miaka 24 baada ya miaka mingi aliyoitumia kusahau aliyopitia, amegeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu. Karla sasa anasafiri duniani kusaidia wahanga wengine wa utumwa wa kimapenzi na pia ameshakutana na Papa Francus kuzungumzia suala hilo.

Pole sana Karla Jacinto, ni ngumu sana ku deal na hali hii kwa mwanamke, na zaidi hua inambadilisha mwanamke,hata yale maisha ya kusema atake kuolewa ama kua na familia inakua ngumu sana, na pia waanajeuka kua very strong and powerful women kama Oprah Winfrey....sipati picha ya aliyokua anapitia kwa miaka minne mfulululizo.

God bless and protect all women.

View attachment 449469
Mkuu stori haina ukwelli halisia.
Mahesabu yanagoma.
43,000 sex games kwa miaka minne, sawa na 19, 750 sex games Per year!
Tuki assume kuwa huyo binti HAPUMZIKI hata siku moja kwa mwaka, ina maana KILA SIKU wanaume 30!
Tuseme sex games na wakati wa kazi 12 hrs, basi kila dakika 24 ana mteja!

Sorry sir, hata kiwanda kinachotumia ushawishi wa umeme hakiendi hivyo!
Msipende kudanganywa wazi wazi.
 
aisee waliombaka wamefaid cheki chuma hicho
Aisee una roho mbaya sana ndugu. Kweli mtu anasema amebakwa unafurahia kuwa walifaidi.??? Ok, i believe you have sisters, cousins, aunts etc etc..
Wamefaidi au wamemuumiza??.watu bhana hawana huruma kabisa na watoto wa wenzao.Halafu wewe jamaa ungekuwa miongoni ya watu waliombaka.
 
N
wanayo mkuu probably walikuwa wanatumia kinga au vilainishi na wanamwaga nje may be .. ila ndiyo huruma tu hamna namna
.
Nani kakudanganya kumwaga nje Kunakukinga na HIV au kutumia vilainishi?

Bado elimu ya afya ya uzazi inahitajika kwa kweli.
 
Hivi mnaelewa maana yake? Hako katoto kana service watu 30 kwa siku kwa kuwa haikuwa hiyari yake basi ni ubakaji na unajisi kutokana na umri wake na yes possible if she is so cute then every male bastard anapiga foleni kwake.
Hawa changudoa wa hiari wanaanzia usiku hapa kwetu tena kwa kubabaisha na kuna baadhi kwa siku wanazamisha migegedo mpaka kumi na tano sasa hako katoto pumzika yake ni kula ,kojoa,kujaribu kulala asifikishe vipi hiyo namba? Na huo ni wastan ina maana siku nyingine watu wawili nyingine arobaini na tano na zile mambo ni bao moja 4mins top no romance sasa piga hesabu watu 30 atawasendani ya masaa 3 kama watajipanga foleni
Msipige hesabu kama kugegeduka na wapenzi wenu -mudanganyane kwanza mudekezane, mudolishane ,chumvini and stuffs!
Kwa changu unakwenda tayari akili yako imeshapinda unaenda kuachia mzogo tu hakuna show pale!
 
Why do people say "grow some balls"? Balls are weak and sensitive. If you wanna be tough, grow a vagina. Those things can take a pounding.
Betty White
 
Back
Top Bottom