Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

Dah...bora ningezaliwa huko Mexico ningekula papuchi ya buree kabisa ..!
 
Nivigumu kuamini hii habari mara 30 kwa siku wastani kila dakika 48 ana kuwa kidume kimoja.
 
She is really beautiful...lkn angalia facial expression yake ...unaweza ona ni mtu wa aina gn..ts like km amejaa uchungu..maumivu..kisasi.hasira
Umenena mkuu...the face speaks everything...kwakwel its tough this situation ..its lot of men aise ..ndo mana namuamgalia mara mbili mbili
 
Nivigumu kuamini hii habari mara 30 kwa siku wastani kila dakika 48 ana kuwa kidume kimoja.
Ndo mana namuangalia mara mbili mbili ..na pia nasoma habar zake mara mbil mbili...ndo mana nimeuliza wenzetu hawana magonjwa ya zinaa ama vipi sababu ina mana all those men walitumia kinga kweli??
NI Uongo mkubwa! Hizo statistic haziwezi kuwa sahihi....
 
Ukimuoa ujipange aswaa.
Nimefuatilia waliopatwa na mikasa mikubwa kama hii wengi hua they dont get married ..hua wanaishia kua commited kwa jambo fulani ..mfano kama huyu ameamua kua commited kuwasaidia wanawake wenzake waliopitia magumu kama hayo, kuna mwingine alisema kabisa mume wake atakua kazi ya upolisi mana she was raped by serial killer japo hakumuua so alivomuachia akaja akashikwa huyo serial killer na akahukumiwa death sentence so mdada kaamua kua polisi full time ili awasaidie na wanawake wenzie
mfano kama oprah winfrey sidhan kama ameolewa zaid ya kuish tu na yule mwenzie
 
Nikisikia habari za mtu kubakwa, nakabwa na donge la hasira moyoni Vuta picha binti yako wa miaka 12 anafanyiwa unyama huo.... Ohhh Mungu tusamehe sisi viumbe
 
S
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

Karla Jacinto, kutoka Mexico, anadai kuwa alilazimishwa kufanya mapenzi na walau wanaume 30 kila siku kwa zaidi ya miaka minne akiwa mtoto.

Alichukuliwa akiwa na miaka 12 baada ya kurubuniwa na kupelekwa Guadalajara, ambako alilazimishwa kufanya kazi kama changudoa. Aliokolewa mwaka 2008 kwenye operesheni maalumu huko Mexico City.

Sasa akiwa na miaka 24 baada ya miaka mingi aliyoitumia kusahau aliyopitia, amegeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu. Karla sasa anasafiri duniani kusaidia wahanga wengine wa utumwa wa kimapenzi na pia ameshakutana na Papa Francus kuzungumzia suala hilo.

Pole sana Karla Jacinto, ni ngumu sana ku deal na hali hii kwa mwanamke, na zaidi hua inambadilisha mwanamke,hata yale maisha ya kusema atake kuolewa ama kua na familia inakua ngumu sana, na pia waanajeuka kua very strong and powerful women kama Oprah Winfrey....sipati picha ya aliyokua anapitia kwa miaka minne mfulululizo.

God bless and protect all women.

View attachment 449469

sio kweliiiiiiiiiiiiii
 
kazur aisee ila tu sina uhakika na ile heruf ya mwimbo wa roma na baghdad kama iko sawa
 
Back
Top Bottom