miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,977 Aug 5, 2014 #2 mkuu hiyo imeweka msesewe au nikifuwe tu ?
lyinga JF-Expert Member Nov 18, 2013 2,496 1,035 Aug 5, 2014 Thread starter #3 Msesewe tayari hapo ipo tayari kwa wakina mmphaamiko si mchezo kitu cha mamba hicho
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Aug 5, 2014 #4 Lugha sahihi ni:Karibu urie! siyo karibu uonje.
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,977 Aug 5, 2014 #5 lyinga said: Msesewe tayari hapo ipo tayari kwa wakina mmphaamiko si mchezo kitu cha mamba hicho Click to expand... mamba kotela au kwa makundi mkuu?
lyinga said: Msesewe tayari hapo ipo tayari kwa wakina mmphaamiko si mchezo kitu cha mamba hicho Click to expand... mamba kotela au kwa makundi mkuu?
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 5, 2014 #6 kitu hii inatengenezwa vizuri kule kibosho asee.. ukichukua kitochi kimoja ukichanganya na banana tatu mambo yanakuwa shwari..
kitu hii inatengenezwa vizuri kule kibosho asee.. ukichukua kitochi kimoja ukichanganya na banana tatu mambo yanakuwa shwari..
lyinga JF-Expert Member Nov 18, 2013 2,496 1,035 Aug 5, 2014 Thread starter #7 SHIEKA said: Lugha sahihi ni:Karibu urie! siyo karibu uonje. Click to expand... Yule bibi yako yuleee wazamani ulikuwa ukipiga hodi kwenye mchalo wake alikuwa anaitikaje.
SHIEKA said: Lugha sahihi ni:Karibu urie! siyo karibu uonje. Click to expand... Yule bibi yako yuleee wazamani ulikuwa ukipiga hodi kwenye mchalo wake alikuwa anaitikaje.
lyinga JF-Expert Member Nov 18, 2013 2,496 1,035 Aug 5, 2014 Thread starter #8 miss chagga said: mamba kotela au kwa makundi mkuu? Click to expand... Komakundi
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,977 Aug 5, 2014 #9 lyinga said: Komakundi Click to expand... Komakundi juu y Kanisa pale au wapi?
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,328 5,270 Aug 5, 2014 #10 Chalii usho kunu lurie wari na nyama teokya Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
speedcom JF-Expert Member Jan 3, 2014 320 179 Aug 5, 2014 #11 Chaa, ruwaoko mangi! Mila, mila, mila...Tumewafikisha penyewe. Hachomoi mhusika hapo! Utawatambua kwa alama zao!
Chaa, ruwaoko mangi! Mila, mila, mila...Tumewafikisha penyewe. Hachomoi mhusika hapo! Utawatambua kwa alama zao!
kamtesh JF-Expert Member Jul 26, 2014 1,395 512 Aug 6, 2014 #13 Umenikumbusha mbali mno, sasa ghafla nimekumbwa na kiwewe cha kurudi home kusalimia
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,687 698,826 Aug 6, 2014 #14 farkhina said: Nini hiyo? Click to expand... Mdindifu hiyo farkhina ukiinywa hiyo utashiba utapata steam halafu kwenye via vya uvyazi ngoma hailali
farkhina said: Nini hiyo? Click to expand... Mdindifu hiyo farkhina ukiinywa hiyo utashiba utapata steam halafu kwenye via vya uvyazi ngoma hailali