Customer care kwenye kutambulisha bidhaa kutoka Redgold Tomato pale Mliman City ni mbaya

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,607
3,400
Wewe kadada uliyekwa na Redgold Tomato ku introduce products yao ya peanut butter hapo Mliman kwenye mlango wa kuingia Shoppers Supermarket sijui niseme umechoka au ndio poor customer care with low skills in promotion.

Mteja kaja umeweka tumikate twa kuonja na maelekezo na kikawaida mtu akifika kwenye kimeza chako umachangamka unamwelezea nini kipya kwenye products yenu tofauti na zingine. Badala yake mteja akifika unaona kama kaenda kula tu vile vya kuonja so mtu anafika husemi una promote nini.

Nimefika leo dada katoa tu macho hasemi, hatoi intro, hatoi chochote,namwambia wee!! Nipe tumikate em nionje, nini kipya tofaut yeye kanuna akijua natala tu kutula bure,kwan maboss wao waliawaaambia je si wawape customer ndio venye ajue kitu kina ladha gani!! the same nimeona hili tatizo hata wale wa sabun za unga wanavaaga kama watoto wa shule. Yaani wao wamekaa tu kama zombi.

Na mind set yao ni kuwa ukifika pale unakula vile vidude wanavokupa uonje na hununui wala nini, lakini maboss zao wana akili, sio lazim mteja ukimuonjesha anunue hapo hapo, hapana, ila ataondoka akijua kumbe kitu fulani kina ladha hii anaweka akilini. Redgold Peanut butter promoter wenu Mlimani kafeli, naona tule tumikate badae anatula twote!
 
Sasa Mkuu ulikuwa unataka mikate au kufahamishwa juu ya hiyo bidhaa? Maana umeweka msisitizo sana kwenye mikate.

Kwani bidhaa zote unazonunua huwa unaonja kwanza?
Ila nimecheka sana.
Hapana madam hii mentality ya kuwa tukijongea kwenye tumeza tule huwa ni kutaka kula tule tuvitu wanavyotu promote ndio inawafanya watu wala hawasogei.unakuta mtu anapita mbali kabisa mana wao wanajua ukiwasogelea tu umeeenda kula na hununui,lakin mim kama manager natoa order kabisa kopo ngap zitoke za kuonja kusudi kuipromote bidhaa husika,wao sasa walopewa kazi hio kisanga.unafika kanuna hasem kitu
Hata wale wa kuonjesha zile hennesy na vodka hawafurah kabisa ukiwasogelea sasa wanatak kunywa wenywe badae
 
Mbona wewe ndio mwenye shida na hujajitambua??😂

Hivi ni lazima ukipita kila sehemu ushangae shangae?

Kuonja ni lazima kiasi hujaonjeshwa uje uandike uzi ??? 😅

Mbona ni mambo ya aibu wala sio sifa mkuu

Halafu wewe ni Ke au Me??
nahisi huyu ni mwanamke halafu sijui kwanini akili yangu inaniambia alikuwa kavaa gauni la vitenge vya ushirika wa kanisa au vya mbio za mwenge alipokuwa anaomba tumikate 😂
 
Mbona wewe ndio mwenye shida na hujajitambua??

Hivi ni lazima ukipita kila sehemu ushangae shangae?

Kuonja ni lazima kiasi hujaonjeshwa uje uandike uzi ???

Mbona ni mambo ya aibu wala sio sifa mkuu

Halafu wewe ni Ke au Me??
Tena wewe ndio yule dada.umekaa husem kitu unamshagaa mteja. Kuonja si technique inatumika madunian huko. Wee ile mikate unataka kuipeleka wap? Nimekuambia palepale poor skills
 
inaelekea hiyo mikate imekuuma sana.😂😂😂😂😂😂😂

Kama upo dar najitolea kukunulia mkate na peanut butter, wewe niambie wapi tu nimtume bodaboda akuletee.
 
Wewe kadada uliyekwa na Redgold Tomato ku introduce products yao ya peanut butter hapo Mliman kwenye mlango wa kuingia Shoppers Supermarket sijui niseme umechoka au ndio poor customer care with low skills in promotion.

Mteja kaja umeweka tumikate twa kuonja na maelekezo na kikawaida mtu akifika kwenye kimeza chako umachangamka unamwelezea nini kipya kwenye products yenu tofauti na zingine. Badala yake mteja akifika unaona kama kaenda kula tu vile vya kuonja so mtu anafika husemi una promote nini.

Nimefika leo dada katoa tu macho hasemi, hatoi intro, hatoi chochote,namwambia wee!! Nipe tumikate em nionje, nini kipya tofaut yeye kanuna akijua natala tu kutula bure,kwan maboss wao waliawaaambia je si wawape customer ndio venye ajue kitu kina ladha gani!! the same nimeona hili tatizo hata wale wa sabun za unga wanavaaga kama watoto wa shule. Yaani wao wamekaa tu kama zombi.

Na mind set yao ni kuwa ukifika pale unakula vile vidude wanavokupa uonje na hununui wala nini, lakini maboss zao wana akili, sio lazim mteja ukimuonjesha anunue hapo hapo, hapana, ila ataondoka akijua kumbe kitu fulani kina ladha hii anaweka akilini. Redgold Peanut butter promoter wenu Mlimani kafeli, naona tule tumikate badae anatula twote!
Dezo imegomewa leo

Mkuu teba unaenda mida ya lunxh kufanya windowshopping ya Redigold butter😅
 
Tena wewe ndio yule dada.umekaa husem kitu unamshagaa mteja. Kuonja si technique inatumika madunian huko. Wee ile mikate unataka kuipeleka wap? Nimekuambia palepale poor skills

mambo mengine ya aibu ndugu.
Yaani kutokuonja mkate kwa Mall uje ulalamike mitandaoni????
Shame on you!
 
nahisi huyu ni mwanamke halafu sijui kwanini akili yangu inaniambia alikuwa kavaa gauni la vitenge vya ushirika wa kanisa au vya mbio za mwenge alipokuwa anaomba tumikate 😂

Yaani mtu ana stress zake za kutokujibiwa maombi yake ya Daniel😅😅 na sadaka zake za kujimaliza anapeleka mtaani stress 🤣
Mkate tu wakuonja amegombana huko mtaani na haitoshi kaja mtandaoni
 
Sasa mkuu si ungemchana hapo hapo kuliko kuja kumuanika huku, huoni kama waweka hatarini kibarua chake kama bosi wake anapita humu?
Nimewaza hivyohivyo angemalizana nae tu,angepewa hadi mbususu sio kamkate tu ka kuonja anacholalamikia hapa
 
Back
Top Bottom