donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Fiffy; Kwani TZ kuna asiyejua vitumbua? Si vitafunio maarufu nchini....! Vitamu kwa siha na afya.Wagaza wanajuwa hiyo?
Kitumbua hcho,yan ni baraaa!
Huwa nakula sana hii makitu muda wa jioni...kwenye vituo vya daladala huwa kuna wale vijana wanavipika hivi na kuviuza.
Basi nikishatoka kwenye shughuli zangu za kubeba zege huwa nashusha viwili vitatu kabla ya kwenda kuegesha...
![]()
Hatari sana na chai ya maziwa!
Mambo yote Tanga kitumbua cha kule balaa. Hongera wanatanga kwa mapishi
Mama mmoja kupika vitumbua kwa ndizi, vitumbua kwa cheeze, vitumbua kwa malayi (cream ya maziwa)..Woow !! hapo utakula hadi utafune vidole vyako!! Mapishi updated ...Vinatamanisha!!
Bila kusahau Zenji ingawaje vyao hutengenezwa kama chapati nene hivi...
Hii kitu nikila natapika sana sielewi vina nini??
donlucchese duh utamaliza vyote hivyo aise