Hahahahahahahah santeee....mie najua vitumbua vya nyama/kuku....
Vitu siku zote vinavyopikwa unhygenic vinakuwa na utamu fulani hivi hauelezeki loh!!
Hivyo ni vya kuuza au vyakula mutu mmoja.
Burudika cha uroho lol...
http://m.youtube.com/watch?v=sPhhZg9v9NU
vitumbua nimevimisije!
Nalog off
Nashukuru kiongozi.Karibu mkuu
Huo mkate wa kumimina pia tunaita mkate wa mchele...
Au mkate wa sinia!!