donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Mbona In vino Veritas ( katika wine kuna ukweli) haviendani na kichwa cha post hii/ maandazi/vitumbua hivyo
Mkuu hiyo ni signatori yang
Mbona In vino Veritas ( katika wine kuna ukweli) haviendani na kichwa cha post hii/ maandazi/vitumbua hivyo
Hii kitu nikila natapika sana sielewi vina nini??
Mama mmoja kupika vitumbua kwa ndizi, vitumbua kwa cheeze, vitumbua kwa malayi (cream ya maziwa)..Woow !! hapo utakula hadi utafune vidole vyako!! Mapishi updated ...
Heheheh u shud see hw I look like!
Hahaha wala sitanii...kitumbua kimoja ni shilingi 200 tu, nikikusanya zile chenji za daladala basi napata viwili vitatu vya kusukutua mdomo nikijongea taratibu nyumbani...hahahaaaa watu8 umenichekesha halafu huwa vinanukia hivyo....pale ubungo naonaga sana
Vinatamanisha!!
Mkuu labda mafuta yale
labda "unameza" cheki urine please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huwa nakula sana hii makitu muda wa jioni...kwenye vituo vya daladala huwa kuna wale vijana wanavipika hivi na kuviuza.
Basi nikishatoka kwenye shughuli zangu za kubeba zege huwa nashusha viwili vitatu kabla ya kwenda kuegesha...
![]()
Duh donlucchese huko sitaki kufika mkuu hiyo ni siri yako may be kama you want to share na mimi
Mhhhh!!!! wewe haya ntajaribu.
Utani mpendwa, do not take it seriously! Lakini huwezi jua anyway!
Hapana mkuu, lol thatwas just a metaphor
I know mkuu maana kumaliza vyote hivyo lazima uwe mbeba vyuma na hapo ujue na msosi wa mtu kama huyo si mchezo mkuu donlucchese
Ehhhhh....sanaaakuvila....
kuna vitumbua vidogo na vikubwa hivyo naona ni vidogo