Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Mkuu miaka yote ccm walioongoza meru walichimba mashimo mangapi ya choo? Hivi kuna wameru wangapi ambao wanavisit JF?huyo mgombea wako hauziki mkuu!

kombajr mkuu,bado sina mgombea wangu nayempigia chapuo hapa nasubiri vikao vya chama vitakavyompitisha mwakani,pili ahadi zote joshua nasari anazotekeleza sasa kwa mfano urudishwaji wa mashamba ni ya ccm kupitia kwa marehemu mzee wetu sumari
 
Mkiweza kuvuana magamba kwanza ndo tutajua kama mnaweza kumwondoa Kamanda Nassari au la.

wimbo wa magamba umepitwa na wakati tafuteni nyimbo mpya.nasari tumemchoka hapa meru lazima arudi hapo ufipani aungane na john heche
 
nasari hata chama chake kimemchoka amesindwa kumlipa hata katibu wake mshahara,anatumbua pesa ya mfuko wa jimbo huku maeneo ya kule kingori,makiba hakuna hata maji kwa wananchi

Umesahau waziri mahanga alivyo shindwa kumlipa katibu wake hadi akaburuzwa kwa pilato?au unabwabwaja tu?
 
Wakati nasari anachukua jumbo mangula alikuwa wapi?hadi baba yenu mamvi alichemka

mangula amerudi sasa huyu mzee ana mbinu nyingi sana za kuiondoa chadema mwakani,ni nguli wa siasa wanameru wanampenda sana
 
wimbo wa magamba umepitwa na wakati tafuteni nyimbo mpya.nasari tumemchoka hapa meru lazima arudi hapo ufipani aungane na john heche

Kwa hiyo magamba yameshindikana kuvuliwa imebaki kuwa wimbo! Mlimtumia Gamba Sugu Mzee wa Richmond LowaHasa kumpigia kampeni mkwewe mkaangukia pua.
 
Kwa arumeru mashariki iko wazi ccm wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
 
Kiukwel dogo hana lake 2015, sisi wanna arumeru tulimpa turn kwa hasira baada ya lowassa kutuwekea MTU wake alieenda kumuokota huko dar, do go alishindanishwa name mshindi was tatu was kura za maoni. Sarakikya jiandae

Huyo dogo alimshinda lowasa
 
Kiukwel dogo hana lake 2015, sisi wanna arumeru tulimpa turn kwa hasira baada ya lowassa kutuwekea MTU wake alieenda kumuokota huko dar, do go alishindanishwa name mshindi was tatu was kura za maoni. Sarakikya jiandae

Lowasa alitumia maela yake na jina lake lakini dogo akatusua
 
mangula amerudi sasa huyu mzee ana mbinu nyingi sana za kuiondoa chadema mwakani,ni nguli wa siasa wanameru wanampenda sana

Kwa matusi umeshinda na chama chako mfu,ila kwa post zako siku zote unaandika uharo mtupu.
 
Lowasa alitumia maela yake na jina lake lakini dogo akatusua

mmawia wa wapi wewe kichwa maji namna hii,una ubongo wa kuku,meru nasari amesindwa hilo lipo wazi mpaka akaamua kuwaomba msahama waskaji zake kule kibo palace kwa kuwahonga bia kwa siku mbili
 
mangula amerudi sasa huyu mzee ana mbinu nyingi sana za kuiondoa chadema mwakani,ni nguli wa siasa wanameru wanampenda sana

Kwa matusi utapongezwa,lakini ktk post zako siku zote unaandika matapishi,huwezi kutusemea sisi
 
Kwa matusi umeshinda na chama chako mfu,ila kwa post zako siku zote unaandika uharo mtupu.

wewe ndio unaandika porojo hapa,huna hoja za kunishinda kabisa,vijana wa ccm tunajua kujenga hoja zenye tija kwa masuala ya taifa letu.unamtetea nasari umekuwa housegirl wake
 
mmawia wa wapi wewe kichwa maji namna hii,una ubongo wa kuku,meru nasari amesindwa hilo lipo wazi mpaka akaamua kuwaomba msahama waskaji zake kule kibo palace kwa kuwahonga bia kwa siku mbili

Waskaji,ndio mdudu gani hapa kwetu?
 
Kwa matusi utapongezwa,lakini ktk post zako siku zote unaandika matapishi,huwezi kutusemea sisi

wewe hukai meru na mambo ya wanameru mashariki hayakuhusu,wewe unatumika vibaya na chadema wakati wenzako wanatumbua ruzuku makao makuu.kalaghabao
 
Waskaji,ndio mdudu gani hapa kwetu?

ni mdudu kama wewe ambaye hujui kuwa nasari amesindwa kuendesha jimbo kazi yake anajenga ghorofa lake kule momela,niambie vile visima ambavyo aliwahaidi wanameru na yale mashamba mfano wa valesca aliyohaidi kuyarejesha yako wapi
 
Back
Top Bottom