Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Haya ndio maneno ya wanameru mashariki yakiwatoka midomoni mwao kuonyesha furaha yao kwa makamu mwenyekiti wa CCM taifa Mzee wetu Phillip Mangula na waziri mkuu Mizengo Pinda.

Wanaameru wameona jinsi gani CCM kimekuwa chama kinachokuwa karibu nao kwa kitendo cha Mangula na Pinda kuja kuzungumza nao ambapo kwanza watakutana na wanachama wote wa kamati kuu ya wilaya ya CCM tarehe 9/8/2014 siku ya jumamosi pale ukumbi wa ICE AGE.
Mosi Arumeru Mashariki ndio wakati wenu wa kumwondoa huyu mbunge wa chadema Joshua Nassari kwani amesindwa hata kuchimba hata tundu la choo kwenye uchaguzi mkuu mwakani.kidumu chama cha mapinduzi.
 
Mmeshindwa kuvuana magamba mtaweza kumwondoa Kamanda Nassari? Acheni comedy nyie magamba sugu.
 
Waache Wameru wa sort issue zao wenyewe.

Mbatia naye kasema anaenda kumtoa Lyatonga. ...
 
Mkiweza kuvuana magamba kwanza ndo tutajua kama mnaweza kumwondoa Kamanda Nassari au la.

nasari hata chama chake kimemchoka amesindwa kumlipa hata katibu wake mshahara,anatumbua pesa ya mfuko wa jimbo huku maeneo ya kule kingori,makiba hakuna hata maji kwa wananchi
 
Ukimpa nafasi atatoboa hilo tundu bila shida!
 
Mkuu mmaranguoriginal. nami nitafika hapo kuungana na hawa viongozi, watu wa watu! bila shaka tutaonana!
 
Last edited by a moderator:
nasari hata chama chake kimemchoka amesindwa kumlipa hata katibu wake mshahara,anatumbua pesa ya mfuko wa jimbo huku maeneo ya kule kingori,makiba hakuna hata maji kwa wananchi
Mbona unakwepa issue ya kuvuana magamba?
 
Kiukwel dogo hana lake 2015, sisi wanna arumeru tulimpa turn kwa hasira baada ya lowassa kutuwekea MTU wake alieenda kumuokota huko dar, do go alishindanishwa name mshindi was tatu was kura za maoni. Sarakikya jiandae
 
arumeru mashariki ndio wakati wenu wa kumwondoa huyu mbunge wa chadema joshua nasari kwani amesindwa hata kuchimba hata tundu la choo kwenye uchaguzi mkuu mwakani.kidumu chama cha mapinduzi

walikosea njia wakaingi choo cha wenzetu.
 
mzee mangula ni mtu anayeijua siasa vizuri hapa nchini chapa kazi mzee
 
mangula ndio mwarobaini wa chadema arumeru mashariki hamna chenu tena

Mmebaki kutekenyana na kujichekesha tu,hao mbona wamechuja sana? Hivi kuna mtu wa kuwaskiliza hao wazee wako kweli? Mwambie mangula kuwa,tunataka atupe majina ya watu walioshinda kwa rushwa ktkt chaguzi za ccm ! Au labda miezi 6 aliyotoa bado haijafika? Mkumbusheni mzee wa watu kwani anaweza kuwa kasahau
 
haya ndio maneno ya wanameru mashariki yakiwatoka midomoni mwao kuonyesha furaha yao kwa makamu mwenyekiti wa ccm taifa MZEE WETU PHILIP MANGULA na waziri mkuu MIZENGO PINDA, wanameru wameona jinsi gani ccm kimekuwa chama kinachokuwa karibu nao kwa kitendo cha mangula na pinda kuja kuzungumza nao ambapo kwanza watakutana na wanachama wote wa kamati kuu ya wilaya ya ccm tarehe 9/8/2014 siku ya jumamosi pale ukumbi wa ICE AGE,mosi arumeru mashariki ndio wakati wenu wa kumwondoa huyu mbunge wa chadema joshua nasari kwani amesindwa hata kuchimba hata tundu la choo kwenye uchaguzi mkuu mwakani.kidumu chama cha mapinduzi

Mkuu miaka yote ccm walioongoza meru walichimba mashimo mangapi ya choo? Hivi kuna wameru wangapi ambao wanavisit JF?huyo mgombea wako hauziki mkuu!
 
Back
Top Bottom