Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

ni mdudu kama wewe ambaye hujui kuwa nasari amesindwa kuendesha jimbo kazi yake anajenga ghorofa lake kule momela,niambie vile visima ambavyo aliwahaidi wanameru na yale mashamba mfano wa valesca aliyohaidi kuyarejesha yako wapi
Mleta mada inaonesha una wivu wa kipuuzi kweli;lakn pia inaonesha bado hauijui siasa na kumbuka siasa sio matusi ni kujenga hoja watu wakuelewa lakini Mmawia kakuyumbisha kidogo tayari umepaniki;jifunze kuandika kwa uelewa sio kum attack mtu na ukweli usiopingika nyie CCM mmechokwa kila kona ya nchi mnatumia majeshi ya Police kuwa hapo mlipo na itafika siku haw hawa Police watawachoka
 
Ccm mtacheza sana ngoma mnayojipigia wenyewe chadema mwendo mdundo viva chadema
 
Mleta mada inaonesha una wivu wa kipuuzi kweli;lakn pia inaonesha bado hauijui siasa na kumbuka siasa sio matusi ni kujenga hoja watu wakuelewa lakini Mmawia kakuyumbisha kidogo tayari umepaniki;jifunze kuandika kwa uelewa sio kum attack mtu na ukweli usiopingika nyie CCM mmechokwa kila kona ya nchi mnatumia majeshi ya Police kuwa hapo mlipo na itafika siku haw hawa Police watawachoka

wewe nawe ni kilaza kama mwenzako mmawia,niambie ni wapi nimetoa tusi,umekurupuka usingizini na kisimu chako cha techno unakuja na uharo wako huku asubuhi
 
wapi nimetoa povu,kama sio tahira
 
wewe nawe ni kilaza kama mwenzako mmawia,niambie ni wapi nimetoa tusi,umekurupuka usingizini na kisimu chako cha techno unakuja na uharo wako huku asubuhi
Unawakilisha kundi la vijana wenzio wengi wenye mawazo hasi kama ya kwako;sina muda muda wa kujibizana nawe maana haujui Politics inaenda vipi ndio maana unaongea pumba
 
Unawakilisha kundi la vijana wenzio wengi wenye mawazo hasi kama ya kwako;sina muda muda wa kujibizana nawe maana haujui Politics inaenda vipi ndio maana unaongea pumba

hebu nionyeshe hata wazo lako ambalo ni chanya ulilotoa hapa,zaidi ya ujinga wako wa bavicha na kujiona ninyi ndio mnajua siasa kumbe viroba
 
nasari hata chama chake kimemchoka amesindwa kumlipa hata katibu wake mshahara,anatumbua pesa ya mfuko wa jimbo huku maeneo ya kule kingori,makiba hakuna hata maji kwa wananchi

Akili yako iko kwenye lile shimo la katikati ya miguu! Kwa taarifa yako, anayesimamia mfuko wa jimbo ni DED, mbunge hana uwezo Wa kuchota ile hela bila idhini ya DED! Swine!!!
 
Mku tayta emb muwekee mmaranguoriginal
ile thread aliyoanzisha humu akimsifia Nassari kwa kuleta maendeleo Arumeru Mashariki maana huyu jamaa ni hovyo sana humu jukwaani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Akili yako iko kwenye lile shimo la katikati ya miguu! Kwa taarifa yako, anayesimamia mfuko wa jimbo ni DED, mbunge hana uwezo Wa kuchota ile hela bila idhini ya DED! Swine!!!

wewe ni tumbili kweli nakuambia tena huyo DED anatoa mamlaka kwa mbunge lakini nasari anatumia kinyume na utaratibu.muulize kwanini kipindi cha kuja mwenge meru nasari aligoma kutoa ushirikiano kwa mkuu wa mkoa kuruhusu mfuko wa nyimbo kumalizia jengo la madarasa pale shule moja inaitwa muungano secondary iliyopo jimboni kwake
 
Mku tayta emb muwekee mmaranguoriginal
ile thread aliyoanzisha humu akimsifia Nassari kwa kuleta maendeleo Arumeru Mashariki maana huyu jamaa ni hovyo sana humu jukwaani!!!!

hovyo kabisa ni wewe niambie kama nasari anapofanya vibaya nisimpe vidonge vyake.kama ameboronga ataambiwa hatukumchagua akavae suti bungeni tu.
 
Last edited by a moderator:
kombajr mkuu,bado sina mgombea wangu nayempigia chapuo hapa nasubiri vikao vya chama vitakavyompitisha mwakani,pili ahadi zote joshua nasari anazotekeleza sasa kwa mfano urudishwaji wa mashamba ni ya ccm kupitia kwa marehemu mzee wetu sumari

Mmaranguoriginal inamaana toka nasari ameingia alichofanya ni kurudisha mashamba tu?na je kama limefanikiwa hilo je alina tija kwa wapiga kura? kwanini msimpongeze baada ya kuangalia mabaya, kama wasomi tunasema we need to be positive first. Na Je mbona auzungumzi jinsi ambavyo madiwani wa ccm wanamhujumu katika utekelezaji wa maendeleo? Ukweli ni kwamba kama kuna mchawi wa maendeleo Meru basi Ni CCM na Madiwani wake hilo linafahamika yawezeka usikubali online but offline unalijua.
Wananchi wa Meru ndiyo watakao amua kuwa Dodo janja amefanya alichoaidi ama la ila siyo CCM, nimekuwa nikitembelea Arusha mara kwa mara ebu niambie kwa miaka yote CCM waliyotawala hilo jimbo anzia kwa Prof. Mbise(late),major Ndosi na Marehemu Sumari nini cha msingi kilichofanyika? be honest
 
Back
Top Bottom