Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Karibuni sana Philip Mangula na Mizengo Pinda Arumeru Mashariki

Mmaranguoriginal inamaana toka nasari ameingia alichofanya ni kurudisha mashamba tu?na je kama limefanikiwa hilo je alina tija kwa wapiga kura? kwanini msimpongeze baada ya kuangalia mabaya, kama wasomi tunasema we need to be positive first. Na Je mbona auzungumzi jinsi ambavyo madiwani wa ccm wanamhujumu katika utekelezaji wa maendeleo? Ukweli ni kwamba kama kuna mchawi wa maendeleo Meru basi Ni CCM na Madiwani wake hilo linafahamika yawezeka usikubali online but offline unalijua.
Wananchi wa Meru ndiyo watakao amua kuwa Dodo janja amefanya alichoaidi ama la ila siyo CCM, nimekuwa nikitembelea Arusha mara kwa mara ebu niambie kwa miaka yote CCM waliyotawala hilo jimbo anzia kwa Prof. Mbise(late),major Ndosi na Marehemu Sumari nini cha msingi kilichofanyika? be honest

kombajr,niambie kuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba ccm tangu hao wabunge wakina sarakikya hawakufanya jambo lolote mpaka alipokuja dogo nasari nadhani ni uongo,ccm kupitia kwa mbunge sarakikya aliweza kuwezesha kupatikana kwa barabara itokayo kilala mpaka kijiji kinachoitwa songoro,alisimamia upatikanaji wa umeme kwa baadhi ya vijiji n.k haya suala lingine hakuna ushahidi kwamba madiwani wa ccm wanamkwamisha dogo nasari kutekeleza majukumu yake mosi nasari n mjumbe wa vikao vya halmashauri na michango mingi anatoka pia
 
Back
Top Bottom