MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
mkuu msalani nakuheshimu sana kwa michango yako hapa yenye tija kwa taifa.karibu sana kiongozi tutakuwa pamoja sana kusukuma gurudumu la maendeleo ya wanameru mashariki.
Asante sana shekhe wangu! tuko pamoja!