Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

kwanza Pole kwa majukumu mkuu
Kuna mshkaji wangu ana tatizo la maumivu ya kende pamoja na maumivu ya tumbo chini ya kitovu sometimes anashindwa hata kusimama straight...pia anadai kuna muda uume wake unauma kana kwamba kuna kitu chenye ncha kali kinachomchoma....tusaidie hapo mkuu pengine utufahamishe nini tatizo kwa viashiria hivyo
Habari louis11
Naomba nikuulize je upande wa mkojo anakojoa vizuri?
 
Ulianza mwasho mkali kichwani akakuna baada ya mda kidogo akasikia kama kuna majimaji yavujia kwa ndani..

kuna mda akitikisa kichwa anahisi kama kuna maji yanacheza ndani ya kichwa hasa akikaa juani kwa mda kidogo na kuna wakati anasema kua yanakua kama yamekauka.. Na uwa hasikii maumivu yoyote

Je iki kinaweza kua ni kichwa maji.?

Kwako Dokta ushauri na Tiba
Habari robidinyo
Naomba nikushauri kutokana na maelezo yako hebu fika hospitali kafanyiwe uchunguzi kwanza kwani matatizo ya maelezo hayo yanaitaji uchunguzi wa kina.
Asante
 
Msaada tiba ya fungus kinywani
Habari mirinji
1 kua makini na dawa za antibiotic hasa matumizi yaambatane na maelekezo kutoka kwa mtaalam wa afya

2 kua makini na baadhi ya dawa za meno zisikimbize kinga katika mate( lisozimy)

3 epuka pombe

4 acha tabia ya kunyonya Ulimi ambao sio wako

Hizo hapo ndo dawa halisi ndugu
Asante
 
niliwah kuwa na tabia ya kuwa kujizonga tishu kwenye uume kutokana na wasisi wa majiji baada ya kutoka chooni, nilikua nikifanya ivo mpaka ninapohisi pamekauka. Mda mwengine nikijisahau mpaka kufika jioni mpaka unakuta ile tishu au toilet paper imeganda na ngozi. ikafika mda ikawa nikijigusisha tishu au toilet paper tu nahisi maumivu ya mchonoto. Nikaacha kabisa hiyo tabia na miaka imepita. Lakini mpaka hii leo ikitokea hata bahati mbaya kugusisha Toilet paper na uume nahisi maumivu.
Naomba msaada juu ya hili. hofu yangu ni kuja kupata maradhi au kua na dalili za maradhi.
Habari does twentyx2
Dah nimepata shida kidogo hapo mkuu
 
Doctor naomba msaada mke wangu ana tatizo la kuganda kwa damu
Naomba msaada ni dawa gani atumie
Habari ndugu
Naomba ujaribu kufafanua vizuri kuhusu kuganda yake ya damu
 
Mkuu kuna rafiki yangu anaumwa kiuno katumia dawa zote za hospital haponi tu tatizo litakua nini sasa
Habari ndugu bwanshee56
Rafiki yako ni jinsia gani na tofauti na kiuno kuna dalili gani nyingine aliokueleza?
 
Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana
Habari ndugu
Kwanza kabisa nikupe pole na nikuombe radhi kwani tatizo hilo Mara nyingi linahitaji huduma kwa haraka.
Ingawa nimechelewa kukujibu pengine ndugu yako ulishampeleka hospitali
Ngoja nikujibu walau kwa uchache
Anatatizo kwenye mapafu. Kama bado hamjapata msaada baada ya kusoma hii niitajie msaada nitawasaidia msaada wa kimatibabu
Asante.
 
Mungu akupe uzima uendelee kutumikia watu wake
 
mimi ninashida nimekaa kwenye sehemu moshi wa gar ulikua unavuja kwa muda mrefu wa safari sasa nimelala nikjikuta naamka usiku baada ya kusikia maumivu kwenye fundo la koo panauma je nitumie dawa dani
Habari bwana halikatwe
Hali kama hiyo ikijitokeza tena kunywa maji kwa wingi na utumie Tablets Co-trimoxazole 2x2 kwa siku 5 Tablets Paracetamol2x3kwa siku 3
Asante.
 
Habari chief Nkingwamh . Mimi ni me na nina fungus kwenye mapaja kwa muda mrefu kidogo, nimeshaenda hospitali na kupewa dawa za kumeza na kupaka bila mafanikio. Ushauri wako mkuu.
 
Doctor habari yako naomba kuuliza hivi inakuwaje mtu kama una vidonda vya tumbo unatokewa na vidonda hadi kwenye koo kuna uhusiano gani yani naomba nielekeze, maana Mimi na vidonda vya tumbo ila nmetokewa na vidonda kwenye tezi huku ndani ya koo na kwa nje ya shiko nimevimba kiuvimbe kidogo sasa nimeenda hospital wameniambia eti ni vidonda vya tumbo vimesababisha kwa kwel sikuelewa uhusiano wa vidonda vya tumbo na kuvimba tezi na vidonda kooni.
Habari bwana tembocard
Kwanza kabisa ndugu naomba urizike na maelezo uliopewa kwani yako sahihi kabisa

Kwani mwili wa binadamuu unamifumo mbalimbali ya kinga. Kwa hili nisiongee mengi kwani ninajua walishakujibu vizuri labda nijazie kidogo.
Swollen limph nodes or glands ni uvimbe wa tezi unaojitokeza katika mwili wa mtu pale mwili unapokua umeumia na kushambuliwa na vijidudu au bacteria wasababishao magonjwa. Au wavurugao utendaji kazi wa kawaida wa mwili

Mara nyingi limph nodes glands kazi yake ni kugundua vitu au vijidudu na kushambulia pale vinapoingia katika mwili. Hivyo tunaweza sema ni kitu muhimu sana hiki
Na Mtu anapoumia na kutokewa na hali hii huashiria kinga ya Mtu huyo iko imara.

Tukirudi kwa huyo mwenye vidonda tumbo, tambua vidonda hivyo ni vijeraha kama majeraha mengine, napia katika vijeha hivyo kuna bacteria aina ya h.pylori.
Kwa hiyo hapo ni lazima kabisa kama mfumo wako wa kinga ni mzuri lazima limph nodes ziebuke.
 
Tatizo ni nini mwili wangu kuwa na vipele vidogovido kifuani ila aviumi wala avina maji vipo tu
Habari ndugu kama vipo vingi katika hali ya tishio, ingawa haviumi ninashauri nenda kapime VDRL
Kisha kama kutakua na shida utahudumiwa.
Asante
 
Rafiki yangu amekutwa na shida ya cholesterol nyingi kwahiyo ameandikiwa atumie Atorvastatin,je kuna madhara yoyote kwa kutumia hizi dawa maana jirani yetu katuambia kuwa hizo dawa sio nzuri afanye tu mazoezi...
 
Habari chief Nkingwamh . Mimi ni me na nina fungus kwenye mapaja kwa muda mrefu kidogo, nimeshaenda hospitali na kupewa dawa za kumeza na kupaka bila mafanikio. Ushauri wako mkuu.
Habari ndugu mugaga.
Inawezekana unatibiwa huo ukungu(fangasi) ndio maana huponi
Kwakua fangasi si ugonjwa Bali ni ishara ya tatizo Fulani mwilini.

Ndugu ukungu ni tatizo la pili baada ya tatizo kuu.kutokutiwa ipasavyo ama kutokutibiwa kabisa.
Hivyo Nina kushauri fika hospitali nenda kachunguze Damu kwani inawezekana kukawa na maambukizi ya clamydia.
Likapatikana tatizo tibiwa hilo tatizo na huo ukungu utakuona wewe ni adui mkubwa hivyo utakimbia wenyewe pasipo wewe kuufukuza.
Asante
 
Back
Top Bottom