Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Habari does twentyx2
Dah nimepata shida kidogo hapo mkuu

nilikua na tabia ya kujifngu tishu au toilet paper kwenye uume. ikafikia muda nikawa nikifunga nahisi maumivu kwenye uume, nikaachna na iyo tabia moja kwa moja. Lakini bado baada ya miaka kupita ikitokea bahati mbaya kugusisha uume na Toilet papaer au tishu bado maumivu yanakuja.
Hofu yangu ni je kuna maradhi nimepata? au naweza juja kupata maradhi mbeleni?
 
nilikua na tabia ya kujifngu tishu au toilet paper kwenye uume. ikafikia muda nikawa nikifunga nahisi maumivu kwenye uume, nikaachna na iyo tabia moja kwa moja. Lakini bado baada ya miaka kupita ikitokea bahati mbaya kugusisha uume na Toilet papaer au tishu bado maumivu yanakuja.
Hofu yangu ni je kuna maradhi nimepata? au naweza juja kupata maradhi mbeleni?
Sasa imekupata vizuri kumbe wewe ilimaanisha kujifunga!
Sasa does 2020 ilikua ukijifunga kwa sababu ya gani? Au ilikua na shida ya Fulani katika mili hiyo?
 
Doctor nini tatizo la Koo kuwa kavu wakati wa usiku?
 
Sasa imekupata vizuri kumbe wewe ilimaanisha kujifunga!
Sasa does 2020 ilikua ukijifunga kwa sababu ya gani? Au ilikua na shida ya Fulani katika mili hiyo?

mara nyingi baada ya kutoka kukujoa tundu ya mkojo bado huendelea kutoatoa majimaji , sasa hua inanikosesha amani kabisa hujiona kama nachafua nguo. Ndio nikaianza hiyo tabia ili uingie mle alafu baada ya mda hutupa. Kiufupi ilikua nikutokujielewa tu. lakini mwisho wake ndio ikaniletea madhara hayo.
 
ningependa kufahamishwa ni kwanini mtu ukiumwa mwili unakua na joto ila unaskia baridi?
 
Habari Cutel
Pole sana kwa kusubiri Sikua nimekusahau ila nilikua na majukumu mengi ya kikazi. Lakini usijali nimerudi.
Dadaangu kutokana na maswali yote niliokuuliza na majibu uliokua ikijibu

Tatizo yako nimehusisha na kushindwa kutoka kwa ute ijulikanao kama Anticoagulants ute hii hua inakuja na kemikali ambayo hufanya kukinga kuta ya Uterus usiharibike wakati wa kuhedhi.

Kemikali itokanayo na ute hii hufanya tukio la kuifanya damu isigande na iwe nyepesi na isikae sehemu yoyote kwenye kizazi yako.
Kitendo hicho hufanya Uterus kuachwa safi na salama baada ya kuhedhi.
Kama unableed pasipokuvuruga utaratibu wa cycle basi shida iko hapa,, ute hii kama inakua hakuna, hata ile kemikali pia itakua hakuna.
Hivyo hapo damu itakua haidhibitiwi na matokeo ni kufanya damu yako kutoka ikiwa heavy kama ilivyo wewe na kwa muda ndefu.
Hali hiyo pia hufanya kukuachia mabaki ya damu maeneo yote ya mapitio(fallopian tube) pamoja na Uterus.
Kitendo hii ya kubaki baki damu, husababisha maumivu wakati wa kuhedhi. Pamoja na layer of uterus(tando) kuharibika.
Ambavyo layer hii inapo haribika hupelekea shepu au umbo la Uterus kua si ya kawida Pia hupelekea ile tishu kubaki bila kinga.
Ambavyo tishu hii ya Uterus ikiondokewa ile layer hua ni rahisi sana kuathiriwa na kazi za endocrine gland zinazohusika na utoaji wa hormones za estrogen na Progesteron zinazochavusha overy.
Hormone hizi zinapokuja katika majukumu yake kama kutakua hakuna layer hii kwa muda ndefu husababisha kuta za kizazi kuanza kumea vivimbe.
Vivimbe hivyo ni kama Intracavitary, ambacho hua kikimea kwenye kuta ya juu ya uterus, na kwa bahati mbaya kadiri unavyoendelea kukua hua ndivyo inavyoteremka chini.Na kuendelea kukua na kua uvimbe mkubwa kama Mama aliemimbika.
Pia intramural hii humea katikati ya tishu laini iliokosa layer na hukaa pembeni ya uterus na hii hua si rahisi kugundulika kwani hua imejificha katikati ya tishu.
Pia Kuna hii Sabmucosal hii Mara nyingi humea pembeni mwa uterus.
Lakini hii ni rahisi kugundulika kwani yenyewe uvimbe hujitokeza kwa juu na kuonyesha kilima.
Lakini kwa wewe vivimbe hivi vyote kwa maelezo niliokuhoji inaonekana huna.hata kimoja
Isipokua uchungu ulionayo ni kutokana na kukosekana kwa ute hii pamoja layer.inayolinda uterus wakati damu ikichirizika.

Pia ziko zivimbe zingine ambazo hazisababishwi na kukosekana kwa anticoaglants, lakini zenyewe hazimei maeneo haya.
Mimi nimekutajia hizo tatu kwakua iko wezekano ya kupatikana nazo mda wowote kutokana na tatizo hilo.

SABABU YAKUKOSEKANA ANTICOAGULANTS.
Sababu ya kupungua au kukosekana kwa ute huu ni.
Dawa za kupanga uzazi Mara nyingi inahusishwa na tatizo hili.
Pia Vipodozi vya kupaka vyenye steroid na baadhi ya dawa za nywele navyo huhusishwa.
Pia kuna sababu za kijenitic, ambazo unaweza kua umerithi hali hiyo.zote hizo ni sababu ambazo zinahusishwa lakini pia kuna maambukizi ya Clamydia na yenyewe pia yapo katika fomu hiyo katika visababishi.

Katika yote hayo iko sababu hii hapa ambayo Wanawake wengi ndio kisababisha kikubwa
Mwanamke Kukaa mda mrefu bila kukutana na mwezi wake. Pia mwanamke kukutana kimwili pasipo kufika kileleni.
Hizi ndizosababu Mara nyingi kwa akina mama wengi.

MATIBABU
Matibabu inategemea kiwango ya tatizo ilipofikia pamoja na visababishi
Lakini tibabu ya msingi kwako ni kuhakikisha kufanya kurudisha anticoagulants.
Na urudishaji wa ute huu ni vizuri zaidi ukatumika mwili wako wenyewe. Pasipo kutumia dawa.

JINSI YA KUFANYA;
Kuhusu hili ningependa uje PM ili nikuelekeze vizuri ikiwa ni pamoja na kukuelekeza dawa za kutumia kwani pia iko haja kutumia aina fulani za antibiotic kwa kua tatizo lishakua la muda mrefu.
Nimatumaini yangu utakua umeelewa vyema Dada cutel
Thanks a lot dear, nakuja PM
 
mara nyingi baada ya kutoka kukujoa tundu ya mkojo bado huendelea kutoatoa majimaji , sasa hua inanikosesha amani kabisa hujiona kama nachafua nguo. Ndio nikaianza hiyo tabia ili uingie mle alafu baada ya mda hutupa. Kiufupi ilikua nikutokujielewa tu. lakini mwisho wake ndio ikaniletea madhara hayo.
Dah kweli we binadamu ina hatari sana mana imebidi nicheke kwanza ila usijali leo Nina muda nzuri twendetu
Je kwa sasa hiyo hali ya kukojoa mkojo halafu nabaki ingine ikiendelea kutiririka bado Ina endelea au ni maumivutu!
 
Muwasho hasa wakati wa jua ..au mwili ukipata joto ..mfano nkiwa natembea haraka au nikinywa kitu cha moto mfano chai, au chakula...

Hali hii inanitesa sana ..kama ni allergy plizi wakuu nisaidieni dawa.
 
ningependa kufahamishwa ni kwanini mtu ukiumwa mwili unakua na joto ila unaskia baridi?
Habari bwana tendee
Mwili kua na Joto Hiyo Mara nyingi hua ni mjibizo wa kinga zako za mwili na bacteria waliovamia.
Kwani mwili una mfumo mzuri wa ulinzi, pale panapotokea uvamizi wa bacteria mfumo wa kwanza wa ulinzi hutoa ishara kwa ubongo kwa kutoa kemikali ijulikanayo kitaalam kama sitocin, kemikali hii huleta homa ,na madhara ya kemikali hii husababisha mili kuchemka.
Kwa hiyo mwili ikichemka tayari ubongo inakua umepata taarifa kua kuna kitu inachoendelea mwilini ambacho sio ya kawaida

Hapo cha kwanza ubongo hua inatengeneza mazingira ya kujihami yenyewe kwa kuitaji nguvu ya ziada kwa kuitumia sukari ili kuzalisha nishati binafsi pasipo kutegemea ile nguvu ya nishati kutoka katika seli

Tendo hilo ndilo hukufanya kichwa kiume sana.
Baada ya ubongo kuhakikisha nguvu itakuwepo vizuri mda wote wa pigano
Hapo sasa ubongo utapeleka taarifa kwa seli za mwili ili kuongeza nguvu ya asikari katika pigano hilo.

Pigano likiwa ni la muda ndefu ilenishati ilioandaliwa na ubongo hua haitoshi, tendo hilo hufanya Mtu kuanza kupoteza fahamu.

Hapo tena ubongo kuendelea kuchukua sukari kwenye misuli ili kuzalisha nishati
Tendo hili pia hufanya mhusika kuanza kukonda na nk.

Lakini kwa upande wa lile baridi hua kuna usawa wa maji katika bahari iliojishikiza ndani ya seli na ile bahari iliojishikiza nje ya seli usawa wa maji pamoja na viwango vya joto hua vimevurugwa kutokana na pigano lililopo ndo utakua inasikia baridi wakati mili yako nakuja na kuchemka moto.
Dendee ni matumaini yangu umeelewa. Asante karibu tena.
 
Dah kweli we binadamu ina hatari sana mana imebidi nicheke kwanza ila usijali leo Nina muda nzuri twendetu
Je kwa sasa hiyo hali ya kukojoa mkojo halafu nabaki ingine ikiendelea kutiririka bado Ina endelea au ni maumivutu!

iyo hali bado ipo, yani nikishakojoa kwa mda bado hua nachuruziki kidogo, napia nikiwa na mwenzangu hata bila ya kufanya mambo ya mapenzi ile ukaribu tu pia unanipelekea kutokwakutokwa na maji.
 
Rafiki yangu amekutwa na shida ya cholesterol nyingi kwahiyo ameandikiwa atumie Atorvastatin,je kuna madhara yoyote kwa kutumia hizi dawa maana jirani yetu katuambia kuwa hizo dawa sio nzuri afanye tu mazoezi...
Habari ndugu stephot
Katika matibabu ni lazima kuwepo na
1 Mgonjwa
2 Daktari
3 Vipimo
Kwahiyo madaktari wako wengi sana na wenye viwango vikubwa.
Lakini kwa hapa Daktari bora ni yule aliesoma majibu ya vipimo vyako. Yeye ndo anajua alichokikuta kwenye katarasi. Na huyo ndio atakuandikia dawa sahihi.

Kwa hiyo ndugu dawa alioandikiwa ndugu yako ni sahihi kabisa na itamsaidia. Cha kuzingatia ni kufuata maelekezo alietoa daktari jinsi na namna ya kutumia.
Kwa upande wa madhara kila dawa Ina madhara endapo utatumia tofauti na maelezo ya daktari. Ama kila kinachoingia kinywani kina madhara.
Hata chakula inayokula ukizidisha itakudhurutu.

Ushauri wangu ndugu yako hiyo dawa atumietu kwani huyo jirani yako hata kama ni daktari lakini kumbuka hakusoma majibu ya maabara yeye.
Kwa hiyo kwa ufupi halijui tatizo la ndugu yako.

Na ukumbuke kuna matatizo ambayo yatakua ishafikia ngazi za dawa kwa hiyo ni lazima atumie dawa.
Zoezi haina msaada hapo.
Asante
 
Muwasho hasa wakati wa jua ..au mwili ukipata joto ..mfano nkiwa natembea haraka au nikinywa kitu cha moto mfano chai, au chakula...

Hali hii inanitesa sana ..kama ni allergy plizi wakuu nisaidieni dawa.
Naomba kwanza nenda kapime minyoo halafu irudi hapa tafadhali!
 
iyo hali bado ipo, yani nikishakojoa kwa mda bado hua nachuruziki kidogo, napia nikiwa na mwenzangu hata bila ya kufanya mambo ya mapenzi ile ukaribu tu pia unanipelekea kutokwakutokwa na maji.
Sasa ndugu inawezekana kukawa na shida kwenye prostate gland.Ngoja tuishuku kwanza. Je kuna hali hizi hua zikikutokea
1 mkojo kutoka Mara kwa Mara
2 unapomaliza kukojoa hua ukihisi mkojo umebakiza kwenye bladder yako
3 kukojoa sana usiku
4 maumivu wakati wa kukojoa
5. Nguvu ya kidevu kupungua
6. UTI ya Mara kwa mara
7. Maumivu kati ya njia ya haja na pumbu
8 Kuwahi kufika kileleni wakati wa sex
Tafadhali usichoke sasa tunatafuta tatizo naomba turudi shuleni kwa maswali hiyo chache!
 
Back
Top Bottom