Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Mwili unawasha sana dakika 3-5 baada ya kumaliza kuoga. Nimebadili mara kadhaa aina ya maji ya kuoga (nilikuwa naoga ya baridi nikaanza kuyachemsha kisha nikaacha kuchemsha nikarudia kuoga ya baridi) lkn bado hali hii inqjitokeza.

Nimeacha kutumia madodoki ya kila namna ya kujisugulia lkn wapi. Nimeacha kutumia mataulo yenye rangi kujikaushia mwili baada ya kuoga lkn bado tu. Pia nimebadilisha sabuni kibao za kuogea bado tu.

Nini tatizo na chanzo chake na nifanye nini kuliondoa tatizo hili?
 
Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayohusu afya
Habari Dokta pole sana Na Kazi na Majukumu ya kila siku

nimekuwa na tatizo la Fizi kuvimba sehemu ya juu

Nilihudhuria Katika hospitali Nikapewa Dawa ya Mouth wash haikunisaidia
Nikarudi hospital nyingine wakanipa metronidazole gel lakini Bado naona hakuna mabadiliko

Please msaada wako nitumie Dawa gani itaweza kunisaidia?
 
Naomba kufahamu dalili za tezi dume maana kama sielewi mazingira yangu kwa sasa sijui ninayo au vip
 
Habari Dr@Nkingwamh,Naomba kuuliza kama sehemu ya nnje ya kondomu ikakugusa korodani wakati wa kuvua na mwanamke uliyefanya nae tendo ana vvu.Je unaweza kupata maambukizi?
Habari ndugu pure nomaa
Am sory kwanza Naomba nikuulize kabla ya kuvaa hiyo kifaa kinga.
1 Je haukumshika shika uke yake kumuandaa mpenzi yako kabla ya sex?
2 Je wakati ukimshika shika sehemu ya uke ilikua ikitokatoka ile ute ute ya uke?
3 Ulikumbuka kukagua vidole au mikono yako kua haina chubuko?
4 Kwakua ulikumbuka kununua condom je ulikumbuka kununua na glove ya mkono kwa ajili ya kuvaa ili umshike?
5 Je haukuinyonya Ulimi yake?
Samahani kwa maswali hiyo lakini.
Ila swali yako si kujibu, napenda nikushauri kwa kusema kabla ya kuivua kifaa hiyo mpenzi yako mwambie awe akiifuta vizuri iwe kavu, ndo uivue.
Asante
 
Pole sana ndugu bachelor sugu.
Hali kama hiyo inaashiria sehemu Fulani ya ubongo inapoanzia shingo( chini kidogo ya usogo) sehemu hii huitwa brain stem.
Sehemu hii inapungukiwa mahitaji.

Sina uhakika kama RCT ingeweza kusababisha hilo, ila kwakua jino yenyewe ilikua ni ya juu iko wezekano hiyo kidogo, kutokana tatizo lenyewe.
Kwani tatizo yako kutokana na maelezo yako, inaonyesha kua brain stem haipitiwi na damu ya kutosha hivyo kupelekea kushindwa kuhudumia sehemu inayohusika nazo.. Matokeo ndio jibu hiyo ulionayo.

Kwanini brain stem isifikiwe na damu, iko sababu. ambayo inaweza kua kipande Fulani ya damu iliogana imekwenda kuziba, hivyo kusababisha brain stem isipate damu.
Nikweli inawezekana hizo dawa zisikusaidie kabisa kwani hapo sijaona dawa zinazoyayusha damu.

Kwa hiyo Nina ushauri hapa kwamba rudi hospitalini ili uweze kufanyiwa uchunguzi.
Na hapo MRI ni lazima itumiketu kwani hii inaufanisi mzuri wa ugunduzi juu ya kesi yako.
Asante
Nashukuru sana Doctor kwa ushauri wako ila naomba kuuliza nitumie mbinu gani ili kuweza kupata rufaa maana daktari anayenishughulikia katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa morogoro hataki kuniandikia rufaa ili niweze kwenda kufanyiwa MRI test akidai kuwa tatizo langu halina haja ya kufanyiwa MRI eti kuwa niendelee kutumia dawa anazonipa ambazo ni NEURO SUPPORT na EYE SUPPORT.Nang'ang'ania kupata rufaa kwa sababu za kiutumishi ili nisipoteze haki zangu km mtumishi wa umma.Asante.
 
Habari ndugu pure nomaa
Am sory kwanza Naomba nikuulize kabla ya kuvaa hiyo kifaa kinga.
1 Je haukumshika shika uke yake kumuandaa mpenzi yako kabla ya sex?
2 Je wakati ukimshika shika sehemu ya uke ilikua ikitokatoka ile ute ute ya uke?
3 Ulikumbuka kukagua vidole au mikono yako kua haina chubuko?
4 Kwakua ulikumbuka kununua condom je ulikumbuka kununua na glove ya mkono kwa ajili ya kuvaa ili umshike?
5 Je haukuinyonya Ulimi yake?
Samahani kwa maswali hiyo lakini.
Ila swali yako si kujibu, napenda nikushauri kwa kusema kabla ya kuivua kifaa hiyo mpenzi yako mwambie awe akiifuta vizuri iwe kavu, ndo uivue.
Asante
1.Nilimshika 2.Ndio 3.Hapana 4.Hapana 5.Ndio
 
Habari dokta.
Nina maswali mawili kimsingi

1. Ni kweli hairuhusiwi kufanya tendo la ndoa pale unapokua katika hatua ya kujiuguza (kusubiri mfupa kuunga) baada ya kuvunjika mguu? ?

2. Kukojoa mkojo ukiambatana na vitu kama kamasi (ktk umbo la vikamba kamba) husababishwa na nn? Na hivi huonekana pale ninapokojua kwenye maji (mf. Beseni lilowekewa maji). Hakuna maumivu yoyote ninayosikia lkn
 
Samahani dokta,mm nasumbuliwa natatizo moja.miaka kama minne zilizopita nilkua napenda kujing'ata lipsi za midomo hii imepelekea lipsi zangu sehemu moja kua nyekundu,sasa halii inanikosesha amani hata kujiamin mbele za watu wakati nikiwa nazungumza.najua humu wamejaa watalamu mbali mbali wanaweza kunisaidia ushaur dawa ipi nitumie ili niweze kurudisha lipsi zangu katika muonekano wa mwanzoni.ASANTENI SANA
 
Doctor habar naomba unisaidie kwa hili, eti ni nini kinasababisha uke kuwa mkavu sana yani hata nikiwa sifanyi mapenzi uke unakuwa mkavu ukigusa hakuna maj maj unakuwa kama umeshika paja yan panakuwa pakavu sana hata nikiwa danger day bado kukavu ukigusa kidole kinatoka kikavu hakina hata maji maji, hata nikifanya mapenz naandaliwa hata lisa lizima nitanyonywa uchi mpaka nafika kileleni ila wakat wa kuanza tu kufanya kunakuwa kukavu mpaka tuweke mate au mafuta bila hvyo naumia mpaka nachanika, naomba nisaidie tatizo ni nini doctor
Pole sana kabla ya kujibu naomba nikuulize,
Je hali hii imekuja ghafla au toka mwanzo ya kuanza mahusiano?
Je hua una tumia njia za kupanga uzazi kwa kutumia dawa zozote?

Naomba unijulishe hiyo ili tujue tatizo yako.
 
Asante, hali hii imenianza mwaka huu sijawahi kutumia njia yoyote ya uzaz wa mpango natumia tu njia ya calenda
 
Je kuna dalili ingine yeyeto ilionayo tofauti na ukavu ya uke?
Huwa naumwa sana tumbo nikiwa period na mishipa huwa inaniuma hasa ya mikono na miguu inawaka moto nikikaribia period pia kuna wakati napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa naskia panavuta yani kama mtu ananiingizia kisu hii hali ikinipata kama nilikuwa natembea nashindwa kupiga hatua nasimama hapo hapo mpaka maumivu yapoe au kama nmelala kikinipata nashindwa hata kugeuka upande wa Pili kwa kweli kinauma sana hichi kitu sijui hata nikuelezeaje tena nikiwa nataka kublidi ndo kinazid kunikata
 
OK sasa naona fumbuzi yako tumeipata kwa elezo hii ya mwisho. Sasa kesho nitakupatia fumbuzi ya tatizo hii.
Ngoja muda hii ipatie nafasi wengine kujibu swali mbili tatu.
 
Back
Top Bottom