Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayohusu afya
Kuna mtu alienda kupima haja kubwa....Dr akamwambia ana bacteria ambao wakikomaa ataharisha damu.

Swali lipo hapa .......hao bacteria ni Wa aina gani,? Na wanaingiaje?

Natanguliza shukran
 
Habari Dk.
Nasumbuliwa na masikio kwa muda mrefu
Yanavuma na wakati mwingine kuuma
Help me pls
 
Mimi ni me mkuu umri 28
Ngoja basi tuendelee kufuatilia!
Siku ya kesho naomba nenda kapime Widal test pamoja na BP na HB kisha uje hapa tushauriane tena.
 
Kuna mtu alienda kupima haja kubwa....Dr akamwambia ana bacteria ambao wakikomaa ataharisha damu.

Swali lipo hapa .......hao bacteria ni Wa aina gani,? Na wanaingiaje?

Natanguliza shukran
Habari bwana mushi92
Ni kwamba kuna bacteria wenye asili ya aina mbili ambao wanaosababisha kuhara na kuhara damu ambao ni Bacillus wa kundi la shigella na maambukizi ya amoeba, Entamoeba histolytica.
Bacteria hii kuingia mwilini kwa utovu wa usafi, kupitia vyakula chafu matunda isiooshwa kuto osha mikono na uchafu wa vyombo.

MAAMBUKIZI:
Mtu hupata maambukizi na kua mgonjwa wa hii baada ya kunywa au kula chakula iliochanganika na bacterial.
Baada ya kuingia mwilini bacteria hii hukimbilia kwenye utumbo mdogo, ambako huzaliana.

Wakiwa wengi huhamasishana kuhamia kwenye utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili.

Wakikua huanza kuishi kwenye kinyesi ya binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa.
Na kuenda kuishi katika aridhi kwa muda wa wiki 4.

Kipindi hii ya kuishi katika ardhi, hapo ile binadamu chafu inayoshika ama kuchezea udongo bila kunawa, huichukua bacterial hii bila yeye kujua hadi mdomoni,
Au kama itaanguka tunda mahali hii na ikaachwa bila kuoshwa. Na binadamu kuja kula tunda hiyo. Bacterial hii kuingia mdomoni.
Na ikiingia mdomoni hua ni ambukizo mpya. Na kwenda kukaa kwenye utumbo ndogo.baadae utumbo kubwa. Mtandao huo wa maambukizi kama isipochukuliwa tahadhari utaendelea hivyo na kuambukiza watu wengi zaidi.

Mushi92 hata wewe chukua tahadhari kwa kua umetambua hatari hii. Asante.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9

Asante kwa majibu
 
Habari Dk.
Nasumbuliwa na masikio kwa muda mrefu
Yanavuma na wakati mwingine kuuma
Help me pls
Habari ndugu iskhath
Muundo wa sikio ilivyoundwa wa lile umbo lake la konokono sio rahisi kuchota sauti za upepo.
Ukaona unapata miungurumo tambua sikio yako linachota sauti za upepo.
Na ukiona hivyo ujue kuna kitu hakiposawa ndani ya sikio, kwa maana kimeacha nafasi Fulani wazi kiasi ambacho sauti za upepo zina penya.
Kwaupande wako wewe kwa kua unasema na hua ukipata maumivu, basi jibu ni hilo kua sehemu ya kati kutakua na tatizo.

Ushauri wangu kwako ningependa ufike hospitali haraka ukaonane na wataalam wetu wa masikio.
Pale kuna uchunguzi utafanyiwa ikiwa ni pamoja na kuulizwa maswali machache yenye historian ya ajali.
Asante
 
Wataalam wenu wanapatikana wapi?
Maana hawa wataalam wadogo wameshindwa kutatua tatizo Dk.
 
Kua hapo awali nilikua ninasumbuliwa na ngiri maji tangu mtoto kabisa nilipelekwa hospitali na kufanyika small surgery mbili ilaa baada ya miaka kadhaa shida ambayo napata tena kuwa nina ulcers mana tumbo linajaa gesi na pia choo napata kama cha mbuzi na pia performance ya kitandani ndogo sana pia haka kadudu (kiba100) changu mda mwingine kinakuwa kidogo hatari kama mtoto mchanga. ..

Dawa za hospitali nimetumia sana bila ya mafanikio aiseee..
 
Kwa mkoa unayoishi wewe fika kwenye hospitali ya mkoa. Kisha ukifika mapokezi.
Itaeleza shida yako. Kisha mhudumu alioko hapo itakulekeza kwa daktari ya mwanzo.
Huyo doctor wa mwanzo ndo atakua mtu wa kwanza kukusikiliza tatizo yako.

Baada ya hapo yeye ndie itayokuelekeza kwa dactari wa tatizo yako.
Ukifika kwa doctor yako eleza tofauti ya usikivu yako ya mwanzo na sasa, ikaeleza vizuri itachunguza kwauzuri ya elezo yako.
 
Habari mirinji
1 kua makini na dawa za antibiotic hasa matumizi yaambatane na maelekezo kutoka kwa mtaalam wa afya

2 kua makini na baadhi ya dawa za meno zisikimbize kinga katika mate( lisozimy)

3 epuka pombe

4 acha tabia ya kunyonya Ulimi ambao sio wako

Hizo hapo ndo dawa halisi ndugu
Asante
Hahahahaha asante doctor nimependa hapo tu EPUKA KUNYONYA ULIMI USIO WAKO.
Message sent kwa wengi.
 
Doctor mm nina matatizo ya macho na masikio kwa pamoja,Macho hayaumi,kuwasha,wala tatizo lolote isipokuwa sina uwezo wa kuona clearly hasa kuanzia distance ya mita3.Pia Masikio nayo hayaumi,wala hayajawahi kutoka usaha isipokuwa uwezo wa kusikia umepungua kwa karibu 60% na muda mwingine hasa ninapokuwa nimechoka kwa kusimama sana au kuwa na njaa basi huwa yanavuma na nikiongea huwa najisikia kama mwangwi(echo)unavuma ndani ya masikio.
Matatizo haya yanaambatana na matatizo mengine km
*Kukosa balance ya mwendo
*Sometime baadhi ya viungo kama vile ncha za vidole vya mkononi kuhisi ganzi na ss hv hata mguu wa kulia unaanza kuhisi ganzi
*Mwili kukosa nguvu ya kutosha.

Historia ya nyuma niliwahi kupata tatizo la jino la juu kushoto nilipoenda hospitality nikafanyiwa RCT(Root Canal Termination) but baada ya miezi 2 jino lile lilianza kulika na jingine la upande wa juu kulia nalo likaanza kuuma sana hivyo nikamwambia doctor ayang'oe yote mawili.Baada ya miezi 6 kupita hali hii ya kutokuona na kutosikia ikatokea ghafla tena kwa pamoja na Leo hii ni takribani miaka 7 toka nipate hali hii.Nimeenda hospitali mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti lakini Madaktari wamekuwa wakiniambia kuwa nina OPTIC NEOROPATHY ila bahati mbaya hawajawahi kunipima kipimo chochote kama MRI ili kujiridhisha kama tatizo hilo wanalodai linavyotakiwa kupimwa na siku zote wamenipa dawa za nutrition Km vile NEUROTON,NEOURO SUPPORT,NEOROBION FORTE ambazo hazijaweza kunisaidia.Tafadhali msaada wako na ushauri
 
Nini maana halisi ya hiyo terminology kubemenda mtoto kati ya hizi.
# mwanamke kunyonyesha mtoto wakati ana mimba

## mwanamke kushiriki tendo la ndoa na mwanaume nje ya ndoa wakati ana nyonyesha.

Je kuna FACTS za kitaalamu kuhusu hizi dhana mbili?

Dalili za mtoto aliyebemendwa ni zikoje?
 
Kua hapo awali nilikua ninasumbuliwa na ngiri maji tangu mtoto kabisa nilipelekwa hospitali na kufanyika small surgery mbili ilaa baada ya miaka kadhaa shida ambayo napata tena kuwa nina ulcers mana tumbo linajaa gesi na pia choo napata kama cha mbuzi na pia performance ya kitandani ndogo sana pia haka kadudu (kiba100) changu mda mwingine kinakuwa kidogo hatari kama mtoto mchanga. ..

Dawa za hospitali nimetumia sana bila ya mafanikio aiseee..
Habari bwana best 1 boy
Kwakua umesema ulishawahi karabatiwa eneo hiyo, na kwakua ilipata tatizo hiyo ukiwa bado iko mdogo.
All and most nisemetu wakati kama hiyo bado maungo mbalimbali Inakua inaendelea kukua.
Inawezekana kwa bahati mbayatu ya ufundi inaweza kutokea kuibana space ya baadhi ya mishipa hivyo kupelekea mabadiriko hayo.
Mi nimekua na mashaka ya vitu kama hii imeharibiwa wakati ya surgery.
1 Corpus Spongiosum
2 Vas deferens L and R
3 Epididymis L and R
Lakini hasa shida kubwa iko Vas deferens L and R hizi baada ya surgery itakua zilipangwa tofauti, kwa kujisahau kua binadamu inayoshurikiwa inaendelea kukua tena baada ya surgery.
Vas deferens L and R zimebana Corpus Cavernosum kwa kuinyima nafasi ndo mana imekuja jibu hiyo ya kua ndogo dudu yako.
Jambo ingine epididymis L and R imebanwa sana imekua myembamba so nalazimika kushindwa kupitisha sperm kwenda kuchanganya na semen kutokana na uzito yake ndo mana imekuja jibu hiyo ya kua na performances ndogo kwa Mpenzi yako wakati ya faragha ya kitanda.
Pole sana tiba yako wewe Rudi hospital kaeleze shida yako na ueleze kua kule nyuma ya miaka yako ilisha Fanya kupasuliwa.Naimani utasaidiwa.

Kuhusu shida ya choo mbuzizi, si kweli kama utakua na vidonda ya tumbo, Bali hapo itakua shida ni stomach layer.
Ambayo ile sehemu ya mwanzo ndani ya stomach hua kuna tishu nyepesi. Kazi ya tishu hii hua ni kuzuia madhara ya ya acidi ilioko tumboni ili isije ikaunguza au kuharibu fuko hilo.
Pia kazi nyingine ni kuzibiti upotevu wa maji maji ya ndani ya stomach kwa ajili ya kazi za mimeng'enyo.
Stomach layer kama itakua imeharibika au kukosekana ndani ya stomach, maji maji hii itakua ikipungua kutokana na kutokuzibitiwa.

Jibu yake ni kwamba kila hatua inavyofanyika ya mmeng'enyo ndivyo maji yanavyozidi kupungua na mwisho kabisa choo lazima itoke kwa kukatika katika kama mbuzi.

Na ukitaka isikatike basi nawewe baada ya kumaliza kula baada ya masaa mbili hivi chakula uliokua cheua uirudishe mdomoni ikutanae na meno.
tena uanze kutafuna upya kisha umeze. Uendelee hivyo usiku na mchana.
Kwa binadamu itakua kazi ngumu hilo anaweza mbuzi kwakua stomach layer hii yeye hana.

Pia jibu ingine ni kupata kua na gesi kwa kua ile maji inayotakiwa kutoa hewa mbovu( kaboni)haipo tena.
Na kama okside kabonia ya eneo hiyo itazidi kutopata sapoti ya maji kuondoa, basi inaweza kuanza kukimbilia sehemu nyingine, zenye nafasi na kusababisha vichomichomi katika mwili
Ndugu matumaini yang umeelewa.
Asante na karibu tena.
 
Okay....nimeelewa je kama ntaenda hospitali wakinifanyia surgery je size itaongeze na kuhusu tumbo ntumie dawa gani mkuu
 
Doctor mm nina matatizo ya macho na masikio kwa pamoja,Macho hayaumi,kuwasha,wala tatizo lolote isipokuwa sina uwezo wa kuona clearly hasa kuanzia distance ya mita3.Pia Masikio nayo hayaumi,wala hayajawahi kutoka usaha isipokuwa uwezo wa kusikia umepungua kwa karibu 60% na muda mwingine hasa ninapokuwa nimechoka kwa kusimama sana au kuwa na njaa basi huwa yanavuma na nikiongea huwa najisikia kama mwangwi(echo)unavuma ndani ya masikio.
Matatizo haya yanaambatana na matatizo mengine km
*Kukosa balance ya mwendo
*Sometime baadhi ya viungo kama vile ncha za vidole vya mkononi kuhisi ganzi na ss hv hata mguu wa kulia unaanza kuhisi ganzi
*Mwili kukosa nguvu ya kutosha.

Historia ya nyuma niliwahi kupata tatizo la jino la juu kushoto nilipoenda hospitality nikafanyiwa RCT(Root Canal Termination) but baada ya miezi 2 jino lile lilianza kulika na jingine la upande wa juu kulia nalo likaanza kuuma sana hivyo nikamwambia doctor ayang'oe yote mawili.Baada ya miezi 6 kupita hali hii ya kutokuona na kutosikia ikatokea ghafla tena kwa pamoja na Leo hii ni takribani miaka 7 toka nipate hali hii.Nimeenda hospitali mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti lakini Madaktari wamekuwa wakiniambia kuwa nina OPTIC NEOROPATHY ila bahati mbaya hawajawahi kunipima kipimo chochote kama MRI ili kujiridhisha kama tatizo hilo wanalodai linavyotakiwa kupimwa na siku zote wamenipa dawa za nutrition Km vile NEUROTON,NEOURO SUPPORT,NEOROBION FORTE ambazo hazijaweza kunisaidia.Tafadhali msaada wako na ushauri
Pole sana ndugu bachelor sugu.
Hali kama hiyo inaashiria sehemu Fulani ya ubongo inapoanzia shingo( chini kidogo ya usogo) sehemu hii huitwa brain stem.
Sehemu hii inapungukiwa mahitaji.

Sina uhakika kama RCT ingeweza kusababisha hilo, ila kwakua jino yenyewe ilikua ni ya juu iko wezekano hiyo kidogo, kutokana tatizo lenyewe.
Kwani tatizo yako kutokana na maelezo yako, inaonyesha kua brain stem haipitiwi na damu ya kutosha hivyo kupelekea kushindwa kuhudumia sehemu inayohusika nazo.. Matokeo ndio jibu hiyo ulionayo.

Kwanini brain stem isifikiwe na damu, iko sababu. ambayo inaweza kua kipande Fulani ya damu iliogana imekwenda kuziba, hivyo kusababisha brain stem isipate damu.
Nikweli inawezekana hizo dawa zisikusaidie kabisa kwani hapo sijaona dawa zinazoyayusha damu.

Kwa hiyo Nina ushauri hapa kwamba rudi hospitalini ili uweze kufanyiwa uchunguzi.
Na hapo MRI ni lazima itumiketu kwani hii inaufanisi mzuri wa ugunduzi juu ya kesi yako.
Asante
 
Habari Dr@Nkingwamh,Naomba kuuliza kama sehemu ya nnje ya kondomu ikakugusa korodani wakati wa kuvua na mwanamke uliyefanya nae tendo ana vvu.Je unaweza kupata maambukizi?
 
Back
Top Bottom