Karibuni kula

Hahahahaha mie tena mtoto wa kizanzibari mie nsijue kupika hivo?..labda kusonga ugari ndo sijui
huo msosi wa kwanza ni mchanganyiko wa nini,maana kama naona nyama vile au?
 
mie naomba bajia na kachori tu kisha nipatie na glass ya togwa kama ipo au maji ya ukwaju 🙂🙂
 
mie naomba bajia na kachori tu kisha nipatie na glass ya togwa kama ipo au maji ya ukwaju 🙂🙂

Hahaaa badia na kachori utapata ila hiyo togwa sijui nini hamna apa...au nkupe kahawa?
 
Reactions: BAK
Mhhhh! nitachagua baadhi tu hapo mbona sioni mikate ya maji!? hebu andika kila kitu kilichopo hapo.

Mikate ya maji hii hapa...
 

Attachments

  • 1382174011143.jpg
    36.2 KB · Views: 44
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…