donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,141
- Thread starter
- #21
hamna mkuu, huku uswazi tuHiyo siyo uswazi hata kidogo
uswazi kifungua kinywa kiwe mpaka na juice?
uswahilini acha kabisa wewe! kwanza soseji hatuzijui uswazi
hamna mkuu, huku uswazi tuHiyo siyo uswazi hata kidogo
uswazi kifungua kinywa kiwe mpaka na juice?
uswahilini acha kabisa wewe! kwanza soseji hatuzijui uswazi
uswahilini kwenu mambo supaaa sana mkuu.
Umewahi kugonga supu ya utumbo wa kuku au supu ya Mapupu na chapati, na bakuli kubwa la maharage pembeni... ukimaliza hiyo mpaka jioni.. Hizo ndio menu za uswahilini
Jirani yangu, siku hizi umenitupa hata kunionjesha maakulati hunikaribishii!!? wapika na kula alone!Weee chauroho hunenepi basi tu....samahani hivi iyo chapati imewiva kweli?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Zamu ya dada FARKH sasa, mwambie alete ufundiJirani yangu, siku hizi umenitupa hata kunionjesha maakulati hunikaribishii!!? wapika na kula alone!
Asante mkuu me silagi iyo mixer
Hapo ndo kwenyewe fika..Yaani manjonjo na maakulati ya kuramba vidole!! yupo anaandaa!Zamu ya dada FARKH sasa, mwambie alete ufundi
TusubiriHapo ndo kwenyewe fika..Yaani manjonjo na maakulati ya kuramba vidole!! yupo anaandaa!
Mimi nakulaga hiyo mixer mkuu, hivi ina rangi gani vile
Ukipga hvo kutw mara tatu kwa miez 6 utakuwa hivi
Jirani yangu, siku hizi umenitupa hata kunionjesha maakulati hunikaribishii!!? wapika na kula alone!
Yaa Bint Nass naona sahani zaenda kwa wengine !! name jirani yako na kodolea macho!!Sijakutupa bhana....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Leo unanitenga, sikuoniYaa Bint Nass naona sahani zaenda kwa wengine !! name jirani yako na kodolea macho!!![]()
![]()
Mlezi wangu kwangu pakavu leo ! Siunaona nadoe mapochpoco kwa mwalimu wa waalimu?!Leo unanitenga, sikuoni
Hapa leo nataka kujifunza mambo mapya, lete mambo mapya, tofautiMlezi wangu kwangu pakavu leo ! Siunaona nadoe mapochpoco kwa mwalimu wa waalimu?!
The Chief Mlezi wangu ni kweli akili inahitaji kutuliwza kinamna.... mie ninaanza weekend hata sijui nijikite wapi kwa mambo... na hapo jirani kuna msiba, kumradhi mkuu wacha nkawape taazi na fariji na huduma za hap na pale... Baaden tutafutane...Hapa leo nataka kujifunza mambo mapya, lete mambo mapya, tofauti
Ujue nikiwepo hapa lengo langu ni kutuliza akili, unajua kuna njia nyingi za kupumzisha akili
Sio tatizoThe Chief Mlezi wangu ni kweli akili inahitaji kutuliwza kinamna.... mie ninaanza weekend hata sijui nijikite wapi kwa mambo... na hapo jirani kuna msiba, kumradhi mkuu wacha nkawape taazi na fariji na huduma za hap na pale... Baaden tutafutane...