Karibuni Kifungua Kinywa Uswahili Wakuu...!!!!

Karibuni Kifungua Kinywa Uswahili Wakuu...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
attachment.php
 

Attachments

  • d603cac27d3cb44ee9c606ad1575f300.jpg
    d603cac27d3cb44ee9c606ad1575f300.jpg
    13 KB · Views: 977
Asante mkuu. Hilo yai umechanganya na nini?
 
Weee chauroho hunenepi basi tu....samahani hivi iyo chapati imewiva kweli?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mihogo.....hakuna.kiazi.......hakuna......gimbi pia hakuna....kwangu chai haijakamilika bado
 
donlucchese unakitafuta kitambi au unatafuta nini
hapo unatakiwa uwe na kipande cha mhogo au kiazi au gimbi bana
 
Last edited by a moderator:
uswahilini kwenu mambo supaaa sana mkuu.

Umewahi kugonga supu ya utumbo wa kuku au supu ya Mapupu na chapati, na bakuli kubwa la maharage pembeni... ukimaliza hiyo mpaka jioni.. Hizo ndio menu za uswahilini
 
Back
Top Bottom