hii imekaa kisharobaro zaidi
hii sima imeenda shule ikiganda unaweza umia vidole wakati wakukata tonge
Hiyo ya 1 ni ya mtu mmoja tu.Kwetu usukumani mbona tunamaliza hiyo nguna kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa staili hii lazima uwe trekta!
Da! kuonesha msisitizo baada ya mandondo kupakuliwa na sufuria imeletwa kabisaaaaaaaa mle mkijua mboga ndio hiyo hiyo! Jikoni hamna kitu