Hivi mganga Mandondo bado yupo jijini Tanga?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,043
Kuna ubishi Kuwa Mandondo ni mkali kuliko Kinjeketile wa Vita ya Majimaji

Ndio nawauliza Wapendwa huyo Mandondo wa Tanga bado yupo?
 
Kuna ubishi Kuwa Mandondo ni mkali kuliko Kinjeketile wa Vita ya Majimaji

Ndio nawauliza Wapendwa huyo Mandondo wa Tanga bado yupo?
Ni dhahiri una changamoto kubwa ya akili. Watoto wako wasipokuwahisha Mirembe utaanza kula majalalani na ndiyo utakuwa huponi kabisa. Umekosa cha kuikandia Chadema sasa unaingia kwenye maujinga ya ushirikina
 
Nasikia JUMA njemba na Forohan Ganze.

Ndio walikuwa wameweka Rekodi ya kusifika kwa ulozi Tanzania nzima.

1. JUMA njemba namba one..
2. Forohan ganzel wa Mwenge.
3. Yahaya Hussein.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10 Gwana Malunde, mwana Malunde.

NB.
NIMETUMIA uzoefu wa Matukio ya kihistoria
 
ivi wewe unamjua mwana malundi vizuri na historia yake kweli
 
Ni dhahiri una changamoto kubwa ya akili. Watoto wako wasipokuwahisha Mirembe utaanza kula majalalani na ndiyo utakuwa huponi kabisa. Umekosa cha kuikandia Chadema sasa unaingia kwenye maujinga ya ushirikina
Acha ukilaza chadema ni makanjanja tu pia huna haki ya kumpangia mtu andike nini
640px-Common_wildebeest.jpg
 
Back
Top Bottom