Karibu tule Ugali na Mandondo

Karibu tule Ugali na Mandondo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
260467_157960570943112_100001875104486_355146_1585830_n.jpg
 
Mazee ukoo juu hiyo nguna si mchezo. udenda unanitoka
 
Kwetu usukumani mbona tunamaliza hiyo nguna kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kipala cha Babu kinafuka moshi, hilo lazima ni dona na maharage mzee si mchezo limetulia
 
Mimi nimetamani hiyo ya samaki wa nazi mmh njaa inazidi duu na kapilipili mwaa, kanakolea kwa tumbo!!!!!
 
wapi hapo nije na pilipili mbuzi???
 
Da! kuonesha msisitizo baada ya mandondo kupakuliwa na sufuria imeletwa kabisaaaaaaaa mle mkijua mboga ndio hiyo hiyo! Jikoni hamna kitu
 
Da! kuonesha msisitizo baada ya mandondo kupakuliwa na sufuria imeletwa kabisaaaaaaaa mle mkijua mboga ndio hiyo hiyo! Jikoni hamna kitu

Hilo sufuria la kukombelezea mkuu, jua kukombelezea kwenye sufuria la mboga ugali wake ni mtamu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom