Karibu RENT A MAID cleaning services

Toooba! biashara ya utumwa imerudi. Kumbe ndio nyie mnaowauza mahouse girl na kujipatia fedha zisizo halali. Tena mbaya zaidi mmekuwa mkiwalaghai na kuwatoa nyumba moja na kwenda kuwauza nyumba nyingine. Tumewastukia dawa yenu iko jikoni.

Nina maana kuandika hivi, kuna makampuni yamewaumiza sana watu......
 
serious kama hiki ulichokiandika ndicho kinachofanyika.
nazaa tena hadi wafike 10 mweeeehhhh!!
saa hizi hakuna kutapeliwa tena nauli za kuagizia mabinti
 
Nitakuja CathLiv niko tu hapa town, ila ninapoishi ni Buswelu. NItakuja tuyaongee kikubwa, nahitaji msichana lakini masharti yangu asiwe na mapepo, asiwe anachagua vyakula mara mimi sili hiki mara hiki, halafu awe anatumia pork maana hiyo ndio mboga kuu kwangu. Pia sipendi msichana wa kutangatanga kwenye nyumba za watu kutwa nzima, na pia awe msafi yeye mwenyewe na mazingira yote ya nyumba, na mwisho awe na uwezo hata wa kutunza bustani ikae fresh
Hawa wapo trained hivyo tulionao wapo kikazi zaidi.
Eneo
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Hawa wapo trained hivyo tulionao wapo kikazi zaidi.
Eneo
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
Nimecopy thread yangu ya mwaka jana ya kutafuta msichana nimeweka hapa kwenye uzi wako ili ujue nataka msichana wa sifa zipi. serious nitakuja huko Bugando leo
 
Ma houseboy hatuna soko kabisa.
ha haa. ni utamaduni uliozoeleka ila kama ni passion yako utafanya vizuri na siku zote changamoto walio wepesi huifanya kuwa fursa.
Follow your dream.
Never give up ndugu yangu life is very serious
 
MDADA WA KAZI.
Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
Ana mafunzo ya mapishi bora.
Malezi ya watoto (Umri 0-17)
Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
Kwa mshahara wa laki moja (T-shirt 100,000)
Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.

Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
AU
SMS/WhatsApp 0769321005.

Email:
auctioneertz@gmail.com au
ramtz@yahoo.com
dad39b007e0ad5b73e3536ee1d49bf77.jpg
na mtaka huyu huyu kwenye picha ndio atafaa kwa malezi ya mwanangu nakupigia mkuu
 
Unamtumikisha au ni mgawano wa majukumu? Ukifikia hatua ya kuajiri binadamu wenzako hayo ndo maendeleo, maana yake unagawa kazi.
mkuu tone tu ya tangazo inatoa picha. huuu uzi umetoa utu wa mwanadamu na kuwa kama kifaa
 
Unamtumikisha au ni mgawano wa majukumu? Ukifikia hatua ya kuajiri binadamu wenzako hayo ndo maendeleo, maana yake unagawa kazi.
Wewe ndo muelewa.
Tunahitaji jamii yenye watu kama wewe.
KEEP IT UP Dear
 
Back
Top Bottom