Karibu RENT A MAID cleaning services

Aisee katika vitu ambavyo huwa navipinga katika maisha yangu ni Kumchukua binadamu wenzako na kumtumikishakama punda.Hii nimechukia zaidi baada ya kuona hadi wanakodishwa
Wapi imeandikwa?
Chukua hatua, paza sauti.
Uliza ueleweshwe 0769321005
 
Mbona hujaandika jina la kampuni, anuani ya kampuni yaani location ya ofisi zenu na namba ya kusajiliwa!?
Ahsante kwa swali lako
NAME: RENT A MAID
LOCATION: Bugando-Mwanza Opp.Kituo cha Watoto cha SOS.
79f51599b3dd445ae3d78a38b083f751.jpg
 
MUNGU awabariki, nililetewa house mate, dah!! Katoto ka dogo nikamkimbiza huyo mama, hadi leo ni miaka 17 sijakuwa na house mate, nitakuja kwa ofisi personal tu negotiate for sure I need some one to take care in my home.
 
MUNGU awabariki, nililetewa house mate, dah!! Katoto ka dogo nikamkimbiza huyo mama, hadi leo ni miaka 17 sijakuwa na house mate, nitakuja kwa ofisi personal tu negotiate for sure I need some one to take care in my home.
Karibuni sana tupo BUGANDO MWANZA mkabala na kituo cha watoto cha SOS
0769321005 endapo kuna utata wowote.
Ahsante
God Bless
 
  • Thanks
Reactions: Paw
BUGANDO mkabala na kituo cha watoto cha SOS
a84ba1fa4aea76935ba203cc48a7f7fb.jpg
Nitakuja ili tuyapange hasa price, kuna punguzo maana mie nina kachumba na sebule, niko peke yangu sina mtoto wala mume. kazi kubwa ni kunipikia na ulinzi wa vijimali vyangu tu mfano, majiko ya mkaa na ndoo za maji. Kuna punguzo kidogo?
 
Nitakuja ili tuyapange hasa price, kuna punguzo maana mie nina kachumba na sebule, niko peke yangu sina mtoto wala mume. kazi kubwa ni kunipikia na ulinzi wa vijimali vyangu tu mfano, majiko ya mkaa na ndoo za maji. Kuna punguzo kidogo?
karibu pia unaweza kunipigia ukifika 0769321005
 
karibu pia unaweza kunipigia ukifika 0769321005
Nitakuja CathLiv niko tu hapa town, ila ninapoishi ni Buswelu. NItakuja tuyaongee kikubwa, nahitaji msichana lakini masharti yangu asiwe na mapepo, asiwe anachagua vyakula mara mimi sili hiki mara hiki, halafu awe anatumia pork maana hiyo ndio mboga kuu kwangu. Pia sipendi msichana wa kutangatanga kwenye nyumba za watu kutwa nzima, na pia awe msafi yeye mwenyewe na mazingira yote ya nyumba, na mwisho awe na uwezo hata wa kutunza bustani ikae fresh
 
Dada wa Kazi anahitajika
Discussion in 'Matangazo madogo' started by CHIKIRA MTABARI, Nov 18, 2016.

Unwatch Thread
Page 1 of 2
12

  1. CHIKIRA MTABARI Verified User
    #1
    Nov 18, 2016

    Joined: Aug 1, 2007
    Messages: 8,511
    Likes Received: 7,614
    Trophy Points: 280
    Ninahitaji dada wa kunifanyia kazi za ndani. Ninaishi Mwanza Wilaya ya Ilemela kata ya Buswelu. Mshahara utakuwa Tshs50,000/ kwa mwezi. Aanatakiwa awe na sifa zifuatazo:

    1. Ajue kusoma na kuandika pia matumizi ya simu yale ya msingi eg. kupiga, kupokea na kutumia short message services
    2. Awe anajua kupika vyakula vya kawaida tu vya kibantu mfano ugali, wali
    3. Awe mkristo mwenye imani ya kiasi, naamanisha asiwe wale wakushinda kanisani au wakuamka usiku na kuanza kuomba kwa sauti kubwa hali ambayo itawanyima watu wengine usingizi
    4. Asiwe na mapepo
    5. Awe anakula vyakula vyote, asiwe ana bagua mfano hali nyama, maharage au mchicha
    6. Asiwe mzururaji kwenye nyumba za watu kupiga soga
    7. Awe tayari kufundisha/kufundishwa kwa kuwa hakuna anayejua kila kitu na hakuna ambaye hajui kitu.
    8.Awe na "wito" wa usafi.
    9. Awe mkarimu wa kiasi, asiwe mtu wa kugawa vitu kwa majirani nikiwa sipo.

    MARUPURUPU:
    1. Nitamnunulia vipodozi vya kawaida
    2. Nitampa pads free kila mwezi
    3. Nitamnunulia nguo but mitumba

    NB: Sitamchangia kwenye mifuko ya hifadhi za kijamii eg. NSSF

    Mawasiliano: 0629 533 764
 
Back
Top Bottom